Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

Makongoro anaenda kujitia aibu tu Arusha mjini,kipindi kile yuko N.c.c.r na aligombea ubunge baba yake mwenyewe alimpinga na kuwasihi watu wasimchague japo alipata ubunge!Arusha hata wamsimamishe baba mwanaasha na waamishie jeshi lote kule hawawezi shinda,tena this time c.c.m ndio wanakwenda kupata aibu ya karne!hv hiki chama hakinaga washauri wazuri kweli?haki ya Mungu mwalimu alienda na chama chake!
 
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

kama anataka aibu atie guu lake pale Arachuga...haponi mtu pale...mchana kweupe watu tunreturn jimbo letu
 
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

A city pagumu sana kwa CCM
 
CCM wakitaka kulinda heshima yao bora wasisimamishe mgombea hii itawaepushia aibu na matumizi ya fedha yasiyo na tija. Katika watu 10 niliongea nao baada ya hukumu, wote 10 wanaiunga mkono CHADEMA
Unamshauri fisi asitafute mifupa?
 
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

Mwambieni asitafute kudharauliwa bure, kama hana akili atakubali kweli lakini ataachwa kama kasimama... Good thing ni kwamba CCM hawana pesa kwa hiyo Jeuri yao yote crushney....

Hata wamlete Lowasa au Sita au Magufuli tuwapime...., maana ndiyo itakuwa kipimo chao..
 
Huyu jamaa ni mzembe sana kasaidiwa yeye pamoja na mkewe Jaji Aisha Nyerere na serikali ya kifedhuli ya CCM sidhani kama atashinda ubunge wa EALA tuache kumzungumzia huyu jamaa kuhusu yeye kugombea ubunge wa Arusha Mjini kwani hata kata ya sekei anakoishi mkewe huyu jamaa hawezi kushinda udiwani achilia mbali ubunge wa A town!
 
..CCM watampa huo ubunge wa Afrika Mashariki ili waonekane wanamuenzi Baba wa Taifa.
 
Kama jina la baba yake ni kubwa si limsaidie kushinda huko A. Mashariki, kwa Arusha hata baba yake angefufuka akagombee bado CDM itashinda!!
 
CCM hata wangemsimamisha Magufuli na mabarabara yake hashindi.

Na kitu ninachokiona hapa ni kwamba CCM hawajui wanapapambana na nani? Na sitoshangaa kama watamsimamisha Makongoro, they are shooting from all direction maana kama hauji unapambana ni nini hata jani linaweza kuwa silaha!
 
sidhani kama hilo ni chaguo sahihi na km makongoro anahitaji kuaibika basi aende, na mara hii tutampa tena vicent nyerere kuwa kiongozi wa kampeni ,afu hawa ccm wameshaishiwa ujanja na chaguzi hizi zinazotoa nafasi kuuonyesha ulimwengu kuwa watu wameshawachoka hawa magamba,subiri tuone na chadema hatutakata rufaa coz tunajua hatutapata haki tunasubiri tuingie kwenye kinyang!anyilo.
 
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

Umesahau Musoma mjini alivyogalagazwa na CHADEMA uchaguzi muu???? Pale ilishinda cdm na si Vicent Nyerere
 
jamani mwacheni nyerere apunzike mnataka muanze kumtukana tena.we makongoro achana na hayo mambo subiri 2015 pale arusha unaenda kuaribu jina la baba yako
 
HAKUNA JIMBo jepesi kushinda kwa ccm kama arusha mjini ili mradi mradi tu viongozi wetu ndani ya ccm wwache ukaidi,watusikilize sisi tunachoshauri timu ya kampeni iweje na umakini kwenye uteuzi wa mgombea atakaepeperusha bendera ya chama tawala.Arusha mjini na hii juzi arumeru tumepoteza kwa ajili ya mtu mmoja na timu timu yake,tulishauri huyo mtu kwa kuwa tayari alishatucost arusha mjini kwanza mtu wake asipishwe na pili yeye mwenyewe asishiriki kampeni za wazi wala vijana wake na tena tulishauri meneja wa kampeni awe kinana au mzee philip mangula ambae ni mzoefu ana akili nyingi sana na pia ana busara,haya haykuzingatiwa matokeo yake wakajaa watu wa kule kama kina januari makamba na lusinde ambao bado ni wachanga sana ndani ya chama na wengine wametawaliwa na jazba!
 
Labda wamrudishe tena Sioi!Maana siku yamatokeo alitia huruma mno,tutampa kura za pole ya Arumeru! Jamaa wametia hasara taifa!Wanategemea ushindi Arusha tena?Nadhani wamependa hali yahewa wanataka warudi Arusha wale bata!Si ndio zao?

Nyerere tuna mkumbuka ,tulimpenda alitufikisha mahali pazuri watanzania ,lakini pia mwanafalsafa maarufu mwanasisi wa falsafa ya kuhoji socrates alipendwa na watu wenye fikra pevu pamoja na kifo chake ,lakini watoto wake 3 wa mwanafalsafa huyo pamoja na umaaeufu wa baba yao watu wa athens hawakuwachukulia umanani kwa kuwa walikuwa hawana uwezo kama baba yao.kwa mfano huo utawala wala uongozi sio akisultani tunadhani makongoro asitafute aibu abaki na heshima yake na heshima ya baba yake ,naamini kama baba yake angelikuwa hai kwa sasa ilivyo ccm angerudisha kadi ya ccm na kujiunga chama cha chadema.Makongoro haiwezi cdm ,kipindi kile alipita kwa sababu hakugombea ccm alipita chama kingne ndiyo ikuwa pona yake vinginevyo angeabulia aibu.
 
Hakika ccm wanachekesha maana hawana mtu hata mmoja wa kumsimamisha kwenye uchaguzi in case ukiwepo!
Jamani ieleweke kuwa Arusha wanachokichukia ni CCM NA MAVAZI YAO YA KIJANI, HIVYO hata wakimleta JKatafanywa kitu mbaya tu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom