MaKoNdAkTa wa DaLaDaLa

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,307
1,500
Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda. Utasikia, "HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO. MA-MDOGO UNAENDA?, NGOJA ASHUKE BIBI. HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH. Babu njoo ukae! baba angu hapo tusogee kidogo, shangazi maliza ngazi, swaiba geukia mbele kaka hapo shika upande wa pili,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom