Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,004 Reaction score 14,551 Jul 26, 2024 #1 Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,248 Reaction score 69,819 Jul 26, 2024 #2 Yupo Anachapa Kazi, Unataka Kumuona Magomeni By Kassim
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,464 Reaction score 3,641 Jul 26, 2024 #3 Kuna mtu jana alisema eti ,at Madiba's home place
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jul 26, 2024 #4 Mtandaoni usipokia na akili tu, imekula kwako. Na hili makonda analijua ndio maana anawaimbisha kila wimbo
Mtandaoni usipokia na akili tu, imekula kwako. Na hili makonda analijua ndio maana anawaimbisha kila wimbo
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,537 Jul 26, 2024 #5 Umeenda nyumbani kwake ukamkosa? 🐼
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,344 Reaction score 15,273 Jul 26, 2024 #6 Wadiz said: Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz Click to expand... Yupo south anaugulia maumivu kama Yale aliyoyapitia marehemu ruge mutahaba
Wadiz said: Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz Click to expand... Yupo south anaugulia maumivu kama Yale aliyoyapitia marehemu ruge mutahaba
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,986 Reaction score 146,303 Jul 26, 2024 #7 Watanzania wengi wanapenda umbea.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,425 Reaction score 17,063 Jul 26, 2024 #8 Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... uliko kupambania hakinzao za msingi
Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... uliko kupambania hakinzao za msingi
Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,490 Reaction score 3,316 Jul 26, 2024 #9 Tutakiane amani na tuombeane mema ,hili la Makonda halijakaa sawa kabisa .
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,308 Jul 26, 2024 #10 mliberali said: Yupo south anaugulia maumivu kama Yale aliyoyapitia marehemu ruge mutahaba Click to expand... May katika Hospitali ile ile aliyoenda Ruge
mliberali said: Yupo south anaugulia maumivu kama Yale aliyoyapitia marehemu ruge mutahaba Click to expand... May katika Hospitali ile ile aliyoenda Ruge
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,433 Jul 26, 2024 #11 Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... Tangu asubuhi mpaka jioni kila radio station ni Yanga na Simba na umbea. Nchi ya ajabu sana hii
Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... Tangu asubuhi mpaka jioni kila radio station ni Yanga na Simba na umbea. Nchi ya ajabu sana hii
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,812 Reaction score 55,626 Jul 26, 2024 #12 Ngoja waje
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jul 26, 2024 #13 Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... Sio tu umbea bali wanapenda kuona mabaya ya watu
Kiranga said: Watanzania wengi wanapenda umbea. Click to expand... Sio tu umbea bali wanapenda kuona mabaya ya watu
B Babu bul JF-Expert Member Joined Oct 5, 2022 Posts 1,716 Reaction score 2,138 Jul 26, 2024 #14 Shimba ya Buyenze said: Tangu asubuhi mpaka jioni kila radio station ni Yanga na Simba na umbea. Nchi ya ajabu sana hii Click to expand... Tatu mzuka
Shimba ya Buyenze said: Tangu asubuhi mpaka jioni kila radio station ni Yanga na Simba na umbea. Nchi ya ajabu sana hii Click to expand... Tatu mzuka
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,433 Jul 26, 2024 #15 Yawezekana ishu imeletwa ili kukwepesha upepo kuhusu jambo fulani. Nchi ya umbea hii na ni rahisi sana kuwatoa Wabongo kwenye reli...
Yawezekana ishu imeletwa ili kukwepesha upepo kuhusu jambo fulani. Nchi ya umbea hii na ni rahisi sana kuwatoa Wabongo kwenye reli...
Kulwa Mazegenuka JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 1,059 Reaction score 1,825 Jul 26, 2024 #16 Makonda yupo South Africa ana shoot filamu ya kutangaza utalii mkoani kwake Arusha.
Sex body JF-Expert Member Joined Nov 30, 2023 Posts 477 Reaction score 1,034 Jul 26, 2024 #17 Yuko likizo puuzieni hizo taarifa
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jul 26, 2024 #18 Akirudi ataanza kutamba mnune
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,831 Reaction score 8,247 Jul 26, 2024 #19 Comments hazina ubinadamu.
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Jul 26, 2024 #20 Yuko anapiga kazi, tena anawasalimia sana watz Unataka ukutane nae matejoo ujue yupo