Makonda wote akili zao ni sawa?

Makonda wote akili zao ni sawa?

Kuna utata mkubwa kwenye hii mada pendwa. Neno Makonda bila kuliwekea fungua na funga semi inaonekana kama unataja "proper noun" ya mheshimiwa ama wenye majina halisi kama hayo.
Pili, udadavuaji wa kimpashopasho, waweza kudhania wanaoongelewa ni machangudoa! Mfano "kabla haujapanda daladala lake unakuwa ni rafiki,ila kitendo cha kuingia ndani anageuka adui akiombea ushuke apande mwingine"! Siyo kwamba anaongelewa changu doa hapa, isiwe tunazungushana akili kuchangia,kumbe kilicholengwa ni kingine?
 
Kwa maneno ya shombo tu! Hawajambo.. Mtu mwili mdogooo anajiona mbabe, au wenye daladala ndio wanawapa kiburi wawanyanyase abiria? Nasikia abiria ukipanda huna sauti. Wakihisi wewe ni wa kuja wanakushusha kituo kinachifuata.
Na anakwambia kwenye daladala usikae muda mrefu,ushuke haraka wauze kiti.
 
Dah...huu Uzi ingekuwa poa sana kama ungeunganishwa na nyuzi nyingine zinazohusu huduma za usafiri na nauli
 
Kuna utata mkubwa kwenye hii mada pendwa. Neno Makonda bila kuliwekea fungua na funga semi inaonekana kama unataja "proper noun" ya mheshimiwa ama wenye majina halisi kama hayo.
Pili, udadavuaji wa kimpashopasho, waweza kudhania wanaoongelewa ni machangudoa! Mfano "kabla haujapanda daladala lake unakuwa ni rafiki,ila kitendo cha kuingia ndani anageuka adui akiombea ushuke apande mwingine"! Siyo kwamba anaongelewa changu doa hapa, isiwe tunazungushana akili kuchangia,kumbe kilicholengwa ni kingine?
Hapa ni Jf mkuu
 
Tusiwalaumu makonda tu, kila idara Tz, huduma kwa wateja hakuna.
 
Back
Top Bottom