Makonda wote akili zao ni sawa?

Makonda wote akili zao ni sawa?

Kwa maneno ya shombo tu! Hawajambo.. Mtu mwili mdogooo anajiona mbabe, au wenye daladala ndio wanawapa kiburi wawanyanyase abiria? Nasikia abiria ukipanda huna sauti. Wakihisi wewe ni wa kuja wanakushusha kituo kinachifuata.
ahahahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaa,mkuu umetisha...
 
Watoto wa Kota utawajua tu akili zao.
We si Useme Lengo lako,aisee BAVOCHA ndio maana Nchi hampewi,aisee akili hovyo kabisa,mtakuja na kila mbinu,maana hii ni zaidi ya mtoto wa Kindergarten
Umeeleweka Think Tank wa BAVOCHA
 
mkuu,mbona umepanic,au unaudhihirishia ulimwengi kuwa wewe ni KIHIYO?we umesoma na kuelewa post au umecomment tu?
 
Watoto wa Kota utawajua tu akili zao.
We si Useme Lengo lako,aisee BAVOCHA ndio maana Nchi hampewi,aisee akili hovyo kabisa,mtakuja na kila mbinu,maana hii ni zaidi ya mtoto wa Kindergarten
Umeeleweka Think Tank wa BAVOCHA
lakini nisikulaumu sana wala kukuhukumu,maana uwelewa wako ndipo ulipo komea.
 
uko Dar sehemu gani mkuu?mbona makonda wapo kila daladala hapo Dar?mbezi-kimara-ubungo kuna makonda wengi,ubungo-mwenge-makumbusho wapo pia,mwenge-kawe-tegeta-bagamoyo pia wapo,ubungo-k/koo-posta utawapata,ubungo-buguruni-temeke hadi chanika mbona wapo,....mkuu labda we uko Dar ya magazetini..

huyo yupo dareda sio daslam
 
Back
Top Bottom