- Thread starter
- #41
mkuu,kwani we umeilewaje post?yawezakuwa umeilewa vibaya..Hii ndiyo jf bwana, hapa watu wanaruka kiunzi cha sheria ya makosa ya mitandao ya Tanganyika.
mkuu,kwani we umeilewaje post?yawezakuwa umeilewa vibaya..Hii ndiyo jf bwana, hapa watu wanaruka kiunzi cha sheria ya makosa ya mitandao ya Tanganyika.
Asante Mkuu kwa kunifahamishamkuu,hzo likes ni za moyoni na sio za mtandaoni..kwa mtandaoni huwa kuna like 1 tu
ok..asante pia mkuu.Asante Mkuu kwa kunifahamisha
mkuu,mimi si sawa na mange(kihiyo) huyo..mimi nimeleta utafiti nilioufanya kwa muda wa miezi 7 katika maeneo niliyoyaainisha hapo juu...au wewe umeilewaje hii post?isijekuwa umeielewa vibaya mkuu..Wewe mleta mada pamoja NA mange mnampango wa kumpa High blood pressure
Makonder
aiseee,au ndo m/kt?..tujuze plsYuko mmoja ndiyo kinara wao hatari zaidi
wana tabia chafu kweli...Ahahaha
aiseeeeeeeeeeeee,ni kweli mkuu...Umesahau na hili;
"Ni wachafu"
mkuu,mbona uko mbele dakika 3....Kumbe makondakta/ utingo..nilidhani Makonda a.k.a shoe shine....
jamani,mbavu zako zimekuwaje mkuu...Haaaaah haaaaah Mbavu zangu
mkuu,emu we tupatie hizo maana unazozifahamu wew..Naona 'makonda' lina maana nyingi!