Makonda wote akili zao ni sawa?

Makonda wote akili zao ni sawa?

Makondakta wa huku ni balaa, wao wanazama kanisani na msikitini kwa mpigo, tatizo kila wakizamia wanapewa nafasi kuzungumzia safari zao za kila siku, wakibeba mic tu abiria wote wanamind.
 
Hivi mshawai kupanda gari ambayo konda wa zamani dereva mpya?? Utamounea huruma jinsi anavyokuwa anahangaika kulinda kibarua, gari ikisimama mara kakagua tyre mara kaenda kufuta kioo, wasitokee wanafunzi kutaka kupanda !!
 
Walevi wanavuta sigara wana maneno ma chafu harafu wana waogopa trafic
 
kuna makonda wa tabata wakorofi sana hasa ukipandia pale ilala boma do!!
 
Makonda wa huku Dar Wanajifanyaga wana mamlaka zaidi ya dereva.... alafu wakianzisha mada ndani ya daladala marufuku abiria kubisha , lasivyo unashuka na mitusi juu!!

Bango
 
Sometimes makonda wanajikuta wana viherehere sana na kutaka kuwa mashuhuri kuliko hata dereva wake
 
Back
Top Bottom