Ilitokea jana jioni mitaa ya tabata mbele kidogo ya bima, mambo yakawa kama hivi:
Abiria: kondaaaa simamisha kwa mwarabu..
Konda: waarabu huwa hawanipe stimu kabisa sidhani kama itasimaa labda angekuwa mbantu!!!!
watu wakashika midomo.. jamani makonda punguzeni mambo yenu kidogo