Makonda vs ITV

Hakuna chombo makini kitaripoti taarifa za kijinga, taarifa ya kichaa aliyeuawa kwa kupigwa risasi ni muhimu kuliko ya Bashite.
 
Nani ka kwambia kuna misuguano?
Lema alipoachiwa kuto kisongo ITV hawakurusha,mbona hamkusema kuna misuguano?

Acheni unafiki
 
Katiba ya "inji" NO ❌
Katiba ya Chama YES ✔
Bunge Live NO ❌
RC Bashite Live YES ✔
CNN, BBC NO ❌
SHILAWADU YES ✔
Kutembelea wafungwa NO ❌
Kuombewa YES ✔
 
hawawezi kufanya upendeleo wanasimamia sheria pia yule mzee mengi ana hofu ya mungu hawezi kudanganya wa Tanzania anaogopa kesho maana haijuwi !!
 
Angalia TBC utaziona habari za makonda wako
 
Kila mkuu wa mkoa akifanya anniversary, waziri akifanya, wakuu wa wilaya wakifanya, makatibu wizara wakifanya na raisi akifanya...patatosha kweli.

Kuna mambo ya kusapoti lakini sio 1yr anniversary, huo ni upuuzi wa kiwango cha lami. Hata hao TBC ni viazi tu.
 
Alimtaja Mbowe kwenye list ya wauza unga na kituo ni cha mmachame mwenzie...Ujinga wa hali ya juu alaf wanajinadi kujali maslah ya Taifa
 
siyo lazima itv watoe taarifa yake, na ukizingatia ni shirika binafsi, akitaka tbc wapo kwa ajili yake, na watu wenye akili zetu ivi paul makonda ndo nani?
 
Mbona press conference za watetezi wa wantinge kama kina TUNDU.A LISSU na wengine wa aina hiyo hawajazionyesha mara nyingi tu.
TBC si ipo!sisi hatutaki habari za watu wasiyo wataalam.
 
Hivi Uhuru nao hawakutangaza?

Anzisheni vituo vyenu vya television muwe mnatangaza habari mnazotaka nyinyi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…