Makonda: Ukiona tumekuita ujue tumekusoma miaka kumi iliyopita

Kwa majina yale ya watuhumiwa ya madawa ya kulevya yalivyoandikwa kiuchwala sidhani kama kweli mmewasoma miaka kumi iliyopita.
Hahahaha Gwajima alitakiwa kumsoma miaka 20 nyuma, ndipo miujiza ilipomtokea akaanza kunena neno la Mungu.
 
Ha ha haa, kikawaida mdogo akipewa heshima kubwa na mkubwa Basi Mdogo hujisikia vibaya ila huikubali heshima ile kwakua tu ni wajibu na yupo kazini.

Kwa ndugu zangu Konda na Gambo wao hawaoni haya na badala yake hufrahia na kutamani hata wangepigiwa magoti.
Nchi zima kuna marc wawili tu? hatari sana.
 
....Hivi vile vitoto jana hamkuviona?kwa kweli hapo mwanzo nilijua mateja ni akina TID na akili zao zembe na nilikuwa siwahurumii na sina huruma nao hata sasa wapumbavu wale lakini wale watoto wa 11 yrs kwa kweli nilipata mtikisiko mkubwa wa moyo tena kamoja kamepata na HIV na kina bwana wake at such an age!

I had a girlfriend at such an age.

Kuanzia kuja viongozi wa kidini, TID mpaka wale watoto ile yote ilikua ni show tu ambayo imelenga kuomba huruma ya raia na kutaka kuhalalisha utumbo aliokua anafanya.

Nchi za Magharibi hutumia sana mbinu hii, pengine kwetu ni ngeni ndiyo maana wengi wamejikuta wanamuunga mkono kisa ile show iliyoendelea pale.

Naamini macho yako ukiamua hayataishia pale ukumbini, yatatoka mpaka nje na kuona sababu haswa ni nini ya kufanya lile onesho lote.
 
Obama aliwahi kusema Afrika inahitaji kuwa na Taasisi imara zinazojitambua...nimekua najiuliza hivi kweli Judge Kahwa Rugakingira au Judge Mwalusanya angeufyata wakati mahakama ikichimbwa mkwara??? Bila kuwa na Mahakama huru yenye kujitegemea tutapata shida kubwa sana....lakini bila kubadili katiba majudge waombe kazi kwa tume maalumu bado kuna tatizo kubwa...lakini pia mhimu Bunge kujitegemea ili kusaidia kuweka usawa wa mambo yasiyofaaa yanayoweza kuleta shida nchini...
 
I had a girlfriend at such an age.

Kuanzia kuja viongozi wa kidini, TID mpaka wale watoto ile yote ilikua ni show tu ambayo imelenga kuomba huruma ya raia na kutaka kuhalalisha utumbo aliokua anafanya.

Nchi za Magharibi hutumia sana mbinu hii, pengine kwetu ni ngeni ndiyo maana wengi wamejikuta wanamuunga mkono kisa ile show iliyoendelea pale.

Naamini macho yako ukiamua hayataishia pale ukumbini, yatatoka mpaka nje na kuona sababu haswa ni nini ya kufanya lile onesho lote.
Anafurahi sana kufanya maigizo.
 
Miaka kumi umemstudy mtu hujui jina lake linaitwaje? Anawataja watu kwa jina moja, wengine kwa a.k.a zao. Huyu jamaa dah ni dharau kubwa sana kwa mamlaka aliyokabidhiwa.
Eti hata radha ya chocolate anayoipenda tunaijua.., anajifanya DEA agent au conspiracy theorist.
Anangalia sana series anakuja kuhadithia " pole kwa wana daresalaaam " hakika makonda amefeli zmn kwa sasa nikujiabisha tu anaongezea...
 
Gwajima amesema walimpima hawakukuta alama (trace) yoyote. Walipokosa wakataka kumwekea kesi ya kutakatisha fedha. Wakapitia accounts zake zote za benki hawakukuta mahali ilipoingia hela ambayo chanzo hakijulikana...

Eti na huyu amekuwa studied kwa miaka Kumi. Useless Kondakta. Kweli huyu bwana ni ''unguided missile''
 
Rc yuko sahihi. Ni kweli yeye hakuwa mkuu wa mkoa. Lakini majina yamekuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Kwa miaka 10 maana hapakuwa na MTU wa kuthubutu kuyataja! Ndio maana amesema "tumekusoma" sio "nimekusoma" . Hapo anazungumzia ofisi yake. Makonda songa mbele tuko pamoja
Kwahiyo tuhuma za WEMA SEPETU zilikuwa mezani kwa RC toka miaka 10 iliyopita?
 
Rc yuko sahihi. Ni kweli yeye hakuwa mkuu wa mkoa. Lakini majina yamekuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Kwa miaka 10 maana hapakuwa na MTU wa kuthubutu kuyataja! Ndio maana amesema "tumekusoma" sio "nimekusoma" . Hapo anazungumzia ofisi yake. Makonda songa mbele tuko pamoja
Acha uongo weweeeee
 
Hivi inakuwaje watu wako so obsessed kutafuta ka nukta cha kumkosoa na kumdhihaki makonda badala ya kutafuta ji nukta la kumuunga mkono?
Kwa taswira pana kabisa hatuoni kuwa mwisho wa mchezo kijana anatenda wema kwa nchi yake?
Kwa intelejensia ipi tulionayo ya kuona anaowatuhumu wameonewa?sikatai kuna mapungufu lakini ni wakati sasa wakumpinga kwa kumsaidia njia sahihi na kuwaripoti wahusika na kusaidia ushahidi ili wazazi tupumue na jiriwa hili baya kwa vijana wetu!
Hivi vile vitoto jana hamkuviona?kwa kweli hapo mwanzo nilijua mateja ni akina TID na akili zao zembe na nilikuwa siwahurumii na sina huruma nao hata sasa wapumbavu wale lakini wale watoto wa 11 yrs kwa kweli nilipata mtikisiko mkubwa wa moyo tena kamoja kamepata na HIV na kina bwana wake at such an age!
Suala sio kumkosoa suala approach yake ndo haikibaliki
 
Back
Top Bottom