PostGE2025 Makonda: Nitaenda kumlilia Rais Samia atupe Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya vijana wa Online TV na Content Creators

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huu ni uongozi au uchawa, mbona mkuu wanamfanya kama malaika Kila kitu lazm kumuomba yeye
 
Acheni kuteka na kuua watu nyie watu - yaani hukumu ya kuwakosoa iwe ni kifo..Sheria ya wapi hiyo? Hata Mbinguni haipo.
Mtakufa vibaya nyie watu..Mungu anaishi usijisahaulishe.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijamii.

Akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Palamagamba Kabudi, Makonda amesema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha vijana kumiliki kamera na kompyuta za kisasa ili kutoa maudhui yenye ubora wa kimataifa yanayoitangaza Tanzania vizuri badala ya kutegemea vifaa duni.

Pamoja na uwezeshaji huo, Waziri Makonda ametangaza mkakati mpya wa kuanzisha timu maalum ndani ya wizara itakayoshughulika na mawasiliano ya lugha mbalimbali za kimataifa. Lengo ni kuhakikisha kuwa habari na matukio ya Rais Samia na Serikali yanarushwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kwa ufanisi zaidi.

Rais atazitoa wapi kama hazimo kwenye budget? Kwa nini asiziingize kwenye budget ya wizara yake ya 2026-2027?

Amandla...
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijamii.

Akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Palamagamba Kabudi, Makonda amesema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha vijana kumiliki kamera na kompyuta za kisasa ili kutoa maudhui yenye ubora wa kimataifa yanayoitangaza Tanzania vizuri badala ya kutegemea vifaa duni.

Pamoja na uwezeshaji huo, Waziri Makonda ametangaza mkakati mpya wa kuanzisha timu maalum ndani ya wizara itakayoshughulika na mawasiliano ya lugha mbalimbali za kimataifa. Lengo ni kuhakikisha kuwa habari na matukio ya Rais Samia na Serikali yanarushwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kwa ufanisi zaidi.

Yaani siyo kuweka kwenye bajeti ya wizara
Ni kwenda kumlilia
Ataliliwa na wangapi?

Tukisema hamna akili mnasema ni matusi
 
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg

Tako tako kwelikweli
 
MJINGA
Kutoka kwenye fungu lipi sasa? hajasema anaishia KUBWABWAJA kama kawaida
aliahidi mamilioni ya pesa kule AFCON bila kusema atayatoa wapi?
hivi kwenye kulipa pesa za serikali kuna kuomba kweli? Accountability yake itakuwaje sasa
huyu ni debe tupu kichwani,
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijamii.

Akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Palamagamba Kabudi, Makonda amesema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha vijana kumiliki kamera na kompyuta za kisasa ili kutoa maudhui yenye ubora wa kimataifa yanayoitangaza Tanzania vizuri badala ya kutegemea vifaa duni.

Pamoja na uwezeshaji huo, Waziri Makonda ametangaza mkakati mpya wa kuanzisha timu maalum ndani ya wizara itakayoshughulika na mawasiliano ya lugha mbalimbali za kimataifa. Lengo ni kuhakikisha kuwa habari na matukio ya Rais Samia na Serikali yanarushwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kwa ufanisi zaidi.

Chaka lingine limegunduliwa
 
mpigaji kwenye moja na mbili
 
Acheni kuwaingilia vijana kwenye contents zao kwa kisingizio cha maadili na mikodi yenu, bilioni mbili kaeni zenu
 
1. Conversion to US Dollars (USD)
  • Approximate rate: 1 TSh ≈ 0.00040 USD (mid-market)
  • Calculation:
    2,000,000,000 × 0.00040 ≈ 800,000 USD
    Kwa hiyo TSh 2,000,000,000 ≈ USD 800,000 (mid-market estimate).
2. Conversion to British Pounds (GBP)
  • Approximate rate: 1 TSh ≈ 0.00030 GBP (mid-market)
  • Calculation:
    2,000,000,000 × 0.00030 ≈ 600,000 GBP
    So TSh 2,000,000,000 ≈ GBP 600,000 (mid-market estimate).
Tukitumia makadirio ya GBP 600,000:
  • Gharama ya kifaa kimoja: GBP 10,000
  • Idadi ya vifaa/watu watakaosaidika = 600,000 ÷ 10,000 = 60
Ni Vijana Watu 60 (au vifaa 60) wanaweza kusaidika

Hii si hana kama kweli itatekelezeka
 
Content za Tanzania hazibambi huko nje siyo kwa sababu ya computer au camera bali ubunifu na kuminywa uhuru wa kujieleza kunakoathiri akili za watengeneza maudhui.

Mange anatumia simu tu ila maudhui yale yanatembea. Yule jamaa wa CNN alipokea maudhui ya MO29 yaliyorekodiwa kwa simu ila docu yake ikasambaa dunia nzima.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijamii.

Akizungumza leo, Januari 13, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Palamagamba Kabudi, Makonda amesema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha vijana kumiliki kamera na kompyuta za kisasa ili kutoa maudhui yenye ubora wa kimataifa yanayoitangaza Tanzania vizuri badala ya kutegemea vifaa duni.

Pamoja na uwezeshaji huo, Waziri Makonda ametangaza mkakati mpya wa kuanzisha timu maalum ndani ya wizara itakayoshughulika na mawasiliano ya lugha mbalimbali za kimataifa. Lengo ni kuhakikisha kuwa habari na matukio ya Rais Samia na Serikali yanarushwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kwa ufanisi zaidi.

Amlete Swaziniga kwanza, otherwise aache utapeli.
 
Hawa jamaa wehu kweli, bilion 2 za kazi gani?
 
Back
Top Bottom