GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akumbuke kazi ya huko ni pamoja na ku-scrutinizes actions za Executive arm of the Government; na sio kuwa a rubber stamper
 
Akumbuke kazi ya huko ni pamoja na ku-scrutinizes actions za Executive arm of the Government; na sio kuwa a rubber stamper
Unfortunately wanaoenda kule wote kwa umoja wao ni rubber stamp ya mama Abdul.
 
“Niwahakikishie kule bungeni moto utawaka

"Niwahakikishie kule bungeni moto utawaka" si ni sawa na "Kukinukisha" sasa huo siyo Uhaini kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya jeshi la polisi na jamhuri ktk kesi ya kihistoria uhaini ya Tundu Lissu?

TOKA MAKTABA :

WIZARA YA HABARI YA UKWELI MTUPU KWA MUJIBU WA CCM

View: https://m.youtube.com/watch?v=QdA_s-hxju4


George Orwell ktk Kitabu cha 1984 anahoji:

Je, kazi ya Winston kada wa chama katika nukuu ya Wizara ya Ukweli ni ipi?

Winston anaenda kufanya kazi katika idara ya kumbukumbu ya Wizara ya Ukweli. Anakaa kwenye meza yake, akiangalia maandishi yake, mashine ambayo huandika kile anachozungumza ndani yake.

Kazi yake profesa itakijikita zaidi kusafisha taarifa zozote za maandishi ambazo zimethibitishwa kuwa si sahihi au zenye madhara kwa Chama - George Orwell 1984



Je, Wizara ya Ukweli inatumia msemo gani? Wizara ya Ukweli ina kauli mbiu tatu: "Vita ni Amani," "Uhuru ni Utumwa," na "Ujinga ni Nguvu." Mistari hii mitatu imeandikwa nje ya jengo ya Ofisi Ndogo ya Chama mtaa wa Lumumba . - George Orwell


George Orwell 1984 :

Je, ni nukuu gani kuhusu ukweli na uongo George Orwell 1984?

"Na ikiwa wengine wote walikubali uwongo (disinformation) ambao Chama kiliweka (kupitiia Paul Makonda) - ikiwa rekodi zote zilisema hadithi moja - basi uwongo huo ulipitishwa katika historia na kuwa ndiyo ukweli wote.

'Ni nani anayedhibiti yaliyopita' aliendesha kauli mbiu ya Chama, 'anadhibiti siku zijazo: ni nani anayedhibiti sasa anadhibiti yaliyopita. ni mwanazuoni mkubwa (David Kafulila)...'” - George Orwell

'The Ministry of Truth: A Biography of George Orwell's "1984"
 
Acha kuzuga watu, kwanza nani kakwambia 29th October kuna uchaguzi?
 
Makonda mpaka uingie mbona spana polepole kapiga wala hayupo bunge ni kijiwe cha watu kukusanyika kula kodi za Wananchi bure
 
Muambieni ubunge sio kama RC.
RC ana mamlaka ya kukoromea watu na kuamuru mambo flani yafanyike.
Ubunge tena chini ya CCM ni kupiga makofi na kuimba pambio kinyume chake utaliwa kichwa
 
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030.

Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo kuhakikisha uwajibikaji unazingatiwa serikalini na vijana wa Tanzania wananufaika na matunda ya maendeleo yanayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita.

“Niwahakikishie kule bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka. Tunataka haki na kila mtu awajibike kwa nafasi yake ili kila kijana wa Tanzania afurahie matunda ya Taifa lake,” amesema Makonda Jumatano, Oktoba 9, 2025, alipokuwa akizungumza na wakazi wa Lamadi, mkoani Simiyu.
Namwona akifa kifo cha ghafla kama amina chifupa
 
Back
Top Bottom