Makonda ni Magufuli ajaye

Makonda ni Magufuli ajaye

mwalimu Nyerere alisema ukimpenda mtu basi nenda ukanywe nae chai nyumbani kwake namsilete ushoga kwenye kazi
 
UGORO MMBAYA KWELI...
AKILI YA KIUGORO GORO

OVA
 
1474823148065.jpg
Mzee wa Publicity
 
Hata Mimi Nadhani Kuna Watu watakuja Kusumbua sana Nchi Yetu, Hapo Baadaye, Nasikitika Kusema Sio Kweli Makonda Ni Mtu wa Maana hata Kidogo, Lakini Kwa Kuwa Akili za Magufuli na za Makonda Ni sawa, Sishangai Kuona Kuwa Magufuli akawa anamwandaa Makonda Baada yake.

Ila Wanacheza Makidamakida Maana Ufunguo wa Future ya Tanzania anaujua Mungu. Ila Wapinzani Wanatakiwa Wajue, Upinzani ni Zaidi ya Kuongea, Kuandamana na Kufanya Vikao. Ni Kuona Mbali Miaka kama Kumi hivi kwenye Barabra, Na Kurudi Ukitazama Kinyume nyume Ni jiwe Gani unaweza Ukalipitia, Ni lipi Unatakiwa Kuliweka Pembeni, Ni Kisiki Gani Gurudumu zako zinaweza Kukikwea na Ni vipi Unatakiwa Kutumia Winch ya Chuma kuvingoa Kutoka Ardhini. Ni Miti gani inaweza kupitiwa tu na Gurudumu, Na Ni gani Inastahili ikatwe ili Barabara iwe clear zaidi.

So as You can See Kwa Mazingira ya Afrika Kama Ilivyomuhimu Kutumbua watu Waache Ufisadi, So it should be Kutumbua Watu ili Waheshimu Demekrasia na Uhuru na Maamuzi ya Watu ikiwa ni Pamoja na Kuheshimu Kura na Chaguzi za Watu!
 
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.

Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.

Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
kuna mtu amedisco chuo kimoja maarufu hapa nchini baada ya kula njama na professa wake ili kuongezewa marks zisizo zake, sijui kama unataarifa hiyo? Nawaza tu
 
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.

Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.

Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Kazi unayo ifanya new ngumu sana hasa ukizingatia katika karne hii ambayo asilimia kubwa wana uwezo wa kutafuta habari sahihu.
 
hamna kitu kama hicho Mwigulu nchemba ndo mwenyeuwezo wa kuvaa viatu vya Magufuli wala sio mwingine hata Mh.Majaliwa...
bado sijaona
 
Ipo siku itaeleweka hayo niyasemayo,kwa kua mh makonda anayatekeleza yale ambayo yataletea maendeleo jamii yake.Makonda ni jasiri hasa baada ya kuwajibu mawaziri wanaohoji kua anataka nini.
Bila kusita anasema ataifanyia jamii yake makubwa na mazuri pamoja na tofauti zinazoonekana juu ya umri wake mdogo,anasema atafanya mazuri ili kesho akumbukwe.
Makonda ni kiongozi shupavu na shujaa mwenye moyo wa usubutu
 
Nafikiri kauli yangu inazidi kujidhihirisha kua Mh Makonda ni kiongozi mwenye msimamo,haogopi lawama,ni bora mmoja aumie kuokoa wengi...Viva Makonda
 
Safi mh Makonda kwa kujitoa mhanga kupambana na wauza madawa yakukevya
 
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.

Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.

Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi mkubwa kama raisi wa nchi,huyu jamaa anamsimamo wa kila kitu anaweza kuamua yeye binafsi,sifa za mtu kama huyu hawezi kuwa kiongozi.

kama atakuwa kiongozi wa kiwango cha raisi basi atakuwa dikteta,kiongozi mzuri ni yule anaejua matatizo ya wananchi na kuyaamua kihekima huyu jamaa hana hekima,hekima ni kipaji.

Tazama huyu kiongozi wa sasa anavyowapelekesha watanzanzia,hafuati katiba,hafuati maaadili ya Tanzania,visasikwenda mbele.

Huyo makonda bora mwisho wake uwe hapo hapo.
 
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.

Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.

Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.

kweli unavuta ugoro
 
HAZINA YA UBABAISHAJI HUYO HANA LOLOTE
Duh hivi Makonda watu wanajua kuwa ni mpiga kazi kweli. Huyu jamaa ni sawa na kina kibajaji na Nape kwa CCM na kule UKAWA ni kina Lissu na Lema. Kazi yao kusema ndiyo mzee kwa ma boss wao hata kama wanajua wanakosea bora matumbo yao yajae.
 
Back
Top Bottom