Nchi yenye watu walioweka akili zao mifukoni na kujitoa ufahamu ndio watakao mchagua makonda.Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kwendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe nae bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania,Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania,Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani,ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Hapana, vijana ndio hufanya mambo ya kipuuzi na yasiyo na hata chembe ya mashiko ili washike vichwa vya habari...hakuna cha busara ni mwendo wa kukurupuka tu!Ngojea nikupe mfano Mzuri kama wewe ni mkazi wa dar imepita kama wiki tatu hivi tulimwona mkuu wa wilaya Ndugu H.POLEPOLE kwa moyo mkunjufu alijitolea usiku kuyaongoza magari ambayo yalikuwa yapo kwenye foleni nzito akayapanga vizuri na foleni ikaisha ni vigumu kumkuta mtu kama profesa mbarawa kuwepo kwenye matukio kama haya ndo tunafikiria na kuja na jibu sahihi kuwa vijana wanaplay part kubwa sanaa katika kuwajibika kwa nyakati tofauti bila kujali usalama wao au itikadi za kisiasa na wazee hubeba dhana ya maarifa, hekima na busara katika uwajibikaji
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kwendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe nae bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania,Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania,Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani,ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
MAKONDA NDIYE ALICHANGIA BAKWATA MBONA JANA HAKUTOA HATA SENTI TANO HARAMBEE YA KAGERAumekula ugoro wewe kabla hujaandika hii siredi
Ndugu unajua mda mwingine tue wakweli nina ushadi wa kutosha kwa namna wapinzani hasa wabungi wenu wanaingia kwenye shughuli za kijamii tatizo lenu uwa mnakariri upande moja tuu!! Mhe. POLEPOLE alipofika mahali pale alikuta maaskari hawapo halafu ilkua ni mda wa usiku akafiria kwa makini na kuja na jibu la haraka nini maana ya uongozi ndo maana akashugulikia lile tatizo kwa haraka mwenyewe vipi na wabunge wenu wanaoenda hadi shambani kusaidiana na wananchi kulimaHapana, vijana ndio hufanya mambo ya kipuuzi na yasiyo na hata chembe ya mashiko ili washike vichwa vya habari...hakuna cha busara ni mwendo wa kukurupuka tu!
Hivi Humphrey hakuwa na mamlaka ya kuagiza kuwepo na askari wa barabarani zaidi ya wanne pale na yeye akaenda kufanya mambo ya maana??
Mange ana majibu yoteHapo kusimamia Amani,hebu eleza anavyosimamia hiyo amani.
huo ni mtazamo wako , usitulazimishe watu na kutuaminisha kitu ambacho sicho, pole sana ndguKutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.