Betri yenye chaji
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 743
- 643
Huu ni ujuha...
Acha uongoKutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Tumia nafsi ya umoja mkuu..sema upo nae bega....usiwe msemaji wa watu wa darWanaopinga kila kitu hawakosi,ila ni nasema mh makonda ni MTU sahihi kuwa mkuu wa mkoa huu wa DSM,P.Makonda tupo began kwa bega mkuu
Una hamu na cheo gani mkuu???maana vyeo vinaelekea kuishaBig up Makonda, ukweli mawazo yako ni mazuri na kweli huyu kijana the Makonda ni Magufuli ajaye.Hutoa maamuzi mazuri ya kiutendaji nk mungu aendelee kumuweka hai na awepo hapo kwenye hiyo nafasi. Ila wale wala viroba wa Kingunge watabisha maana wao walikaririshwa na DJ mbowe awe wa kupinga tu hata kama jua wanaliona watapinga kwamba siyo jua eti ni nyota.
mkuu Sio kwamba kawekwa kwa shughuli maalum ya kuwadhibiti wale wapinzani wake???usimsifie tuu kutaka cheo..ukijielewa napo itakusaidia,ni tahadhari tuuTukiweka pembeni mihemko ya kichama,unapozungumzia vijana wenye nyota ya uongozi Mh Makonda ni miongoni mwao,hii uchama ndio unatuponza Watanzania.Kwa kuweka tofauti za Kichama itatusaidia kubaini ni kiongozi yupi hasa anatufaa,tunataka mtu anayesimamia maamuzi yake.
Ndio maana kwa kusema Makonda ni Magufuli ajaye ni sahihi kabisa kwa kua Magufuli anasimamia analoamini ndio maana akamuamini Makonda na kutuletea akawa Rais wa eneo letu la DSM yeye ndio mwakilishi wa Rais.
Huo ndio uongo halisi..nafsi lazima ikusute kwa aina hii ya kiki ya kutafuta ka-cheoHuo ndio ukweli halisi
Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Hivi kwenye nchi yetu viashiria vya uvunjifu wa amani ambavyo hizo kamati za ulinzi na usalama za mikoa walizoweza kuaddress ni zipi has a mpaka tuanze kuwaimbia mapambio?Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kuendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe naye bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla. Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania, Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania, Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani, ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Big up Makonda, ukweli mawazo yako ni mazuri na kweli huyu kijana the Makonda ni Magufuli ajaye.Hutoa maamuzi mazuri ya kiutendaji nk mungu aendelee kumuweka hai na awepo hapo kwenye hiyo nafasi. Ila wale wala viroba wa Kingunge watabisha maana wao walikaririshwa na DJ mbowe awe wa kupinga tu hata kama jua wanaliona watapinga kwamba siyo jua eti ni nyota.
huyu kijana kawaza ugoro kama lilivyo jina lakeHata mimi MchovuWaFikra siwezi kuwaza kama UGORO.
MSITUSHIRIKISHE DHAMBI NA LAANA ZENU MAANA SIYO HUYO MTU HATA CHAMA CHENYEWE.Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.