Makonda ni Magufuli ajaye

kabisa wanafanana manake wote ni watu wa showoff hawana dira wala maono ya kitu chochote
 
Nchi yenye watu walioweka akili zao mifukoni na kujitoa ufahamu ndio watakao mchagua makonda.
 
Hapana, vijana ndio hufanya mambo ya kipuuzi na yasiyo na hata chembe ya mashiko ili washike vichwa vya habari...hakuna cha busara ni mwendo wa kukurupuka tu!
Hivi Humphrey hakuwa na mamlaka ya kuagiza kuwepo na askari wa barabarani zaidi ya wanne pale na yeye akaenda kufanya mambo ya maana??
 
Makonda anajua kuropoka tu, hata uwezo wake wa kiakili mimi nakataa kwa "BIG NO"
Hii nafasi ya kapewa tu kwa sababu ya kelele na hii ndio nafasi ya juu ya mwisho kwake. Time will tell.Ungenambia mtu kama Alli Happi ndo naweza kukuelewa kidgo ndo anaweza kuikokota CCM mpaka mahali flani.
 

Usicheze na ngosha wewe,
Jamaa wako vizuri n very strong on public issues
 
kuna mwalimu anaitwa Makonda amevunjwa meno matano na wanafunzi kwa sababu ya kuwalawiti.
 
Ndugu unajua mda mwingine tue wakweli nina ushadi wa kutosha kwa namna wapinzani hasa wabungi wenu wanaingia kwenye shughuli za kijamii tatizo lenu uwa mnakariri upande moja tuu!! Mhe. POLEPOLE alipofika mahali pale alikuta maaskari hawapo halafu ilkua ni mda wa usiku akafiria kwa makini na kuja na jibu la haraka nini maana ya uongozi ndo maana akashugulikia lile tatizo kwa haraka mwenyewe vipi na wabunge wenu wanaoenda hadi shambani kusaidiana na wananchi kulima
 
Nimesoma jina la mleta huu uzi na kichwa cha post yake nimejikuta nacheka.
 
Ukweli utabaki kua ukweli Mtanzania hasa mwanadar-es salam anaitaji kiongozi aina ya makonda ili aweze kusonga mbele,kiongozi anayesimamia kile anachoamini.Makonda aliwahi kusema ikiwa chama chake kitamsimamisha Lowasa kama mgombea basi yeye atajiuzulu nafasi zake zote,bila kujali madaraka yake amesimamia alichoamini yeye.Ndio maana ukweli unauma kua Makonda ni Magufuli ajaye.
 
Wana biolojia naomba kujua kama evolution theories zimesema chochote kuhusu kenge kugeuka mamba au mamba kugeuka kenge.
 
huo ni mtazamo wako , usitulazimishe watu na kutuaminisha kitu ambacho sicho, pole sana ndgu
 
TISS wabadilishe utaratibu wa kuchuja wagombea urais na hata RC wasiburuzwe! Pia wakathibishwe na Bunge! Itasaidia kutuwekea mihemko na undugunization kila kona!
 
Tukiweka pembeni mihemko ya kichama,unapozungumzia vijana wenye nyota ya uongozi Mh Makonda ni miongoni mwao,hii uchama ndio unatuponza Watanzania.Kwa kuweka tofauti za Kichama itatusaidia kubaini ni kiongozi yupi hasa anatufaa,tunataka mtu anayesimamia maamuzi yake.
Ndio maana kwa kusema Makonda ni Magufuli ajaye ni sahihi kabisa kwa kua Magufuli anasimamia analoamini ndio maana akamuamini Makonda na kutuletea akawa Rais wa eneo letu la DSM yeye ndio mwakilishi wa Rais.
 
Na kweli wanafana kwa mihemko. Na kufeli wanafana. Sukar imefichwa mpaka leo haijapatikana. Halijaisha hilo pesa zimefichwa. Walim bure halijaisha mashoga, haijaisha nyumba kwa nyba usaili. Hv lipi katekeleza makonda japo 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…