2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,458
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi.
Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazima yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.