GE2025 Makonda ni jitu la hovyo, watanzania mkataeni

GE2025 Makonda ni jitu la hovyo, watanzania mkataeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,821
Ameshiba mihogo. Leo anasema Magufuli ni kaka yake. Wewe makonda ni wakumuita magufuli kaka Yako kweli? Unakumbuka alivyokusitahi kama mwanae. Unakumbuka alivyokuunganisha wewe na Ruge kule chongoleani Tanga kwa kuwaita wewe na Ruge ni wanaye. Leo unamuita kaka Yako eti.
Tafadhali usimtumie Magufuli kuwahadaa watanzania kwa kukutetea njaa zako. Kinywa chako hakifai kumtaja Magufuli mbele ya Samia asiye na uwezo wa kuongoza.
 
Huu ni muda wa hadaa na vitisho kwa watanzani kwa wanufaika wa mfumo huu wa kifisadi usiojali uwajibikaji kwa watanzania wala kuthamini uhai ama maslahi ya taifa hili.Ili nguvu wameziweke kwenye kudumisha mamlaka ili kulinda ifisadi,rushwa na ukandamizaji kwa kila mtanzania kwa manufaa ya wachache
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom