The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Leo haujavaa pampas yako??Hilo picha ndiyo laana yako utaenda nalo kila mahali kenge wewe
Msukule wewe huna uwezo wa kutoa hojaKuna hoja kubwa sana
Mkiambiwa bashite ni darasa ka saba B mnakataa haya sasa mmeona wenyewe.
Umejitahidi kuchambuaDogo wa Dar anaifanya kazi ya kubadili majadiliano ya kijamii kwa umahiri mkubwa sana (trend setting).
Ile habari ya Msamvu ni doa jeusi kwa mamlaka kuu, hivyo haraka haraka dogo amekuja na suala la ndoa za watu. Makali ya Morogoro yamepunguzwa tayari.
Kisiasa ni lazima uwe na watu wa aina hii kwenye uongozi wako, na ili umuhimu wao kisiasa uweze kuwa na mashiko wanakabidhiwa mikoa yenye ushawishi mkubwa kama huu wa DAR.
Siasa ni mchezo ambao unaitwa mchafu, lakini ndani ya huo uchafu ni lazima wawepo watu wenye kuweza kuufanya ukaonekana angalafu una usafi wa aina fulani.
Bar zote ziwe sehemu mojaBado nasubiria wanaouza magari kuhamia kigamboni!
MM NAWASIWASI NDOA AMBAYO HAIJASAJILIWA NIYAKWAKWE MAANA SISI WENGINE TUNA VYETI TOKA SERIKALI KUPITIA KWA TAASISI ZA DINI SASA KAMA ANAHITAJI HILO AENDE RITA inaonekana ana gap kubwa la uongoziDsm kuna changamoto kibao,jinga hili linaongea ongea tu ujinga
Teh tutakuwa tunatembea na Passport au Vitambulisho vya TaifaHakuna jambo lilialonzishwa na Makonda likafanikiwa na hii inatokana ufinyu wa fikra alionao.
Back to the topic. wanaume waliooa watapigwa muhuri usoni?
Naona imebaki kudeal na vizazi na vifo tuNa RITA kazi yake nini?