johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,879
- 143,359
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Makonda amepitishwa kwa kishindo na Halmashauri Kuu hivyo tutegemee Ushindi wa sunami kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Source: Channel ten
Jumaa Mubarak 😀🔥
Source: Channel ten
Jumaa Mubarak 😀🔥