kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,187
- 24,580
Steve Kijana acha kuganga njaa unalia na mengi nashukuru sana kwa kuonyesha unafiki ulotukuta tena wenye phd naomba nitaje ulonufaisha umma ni haya
1.Tumeshajua kuwa kumbe tunda, TID, na wengineo kumbe walihongwa milioni 2 kila mmoja kwenda kumtetea makonda
2.Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni feki na ni visasi
3.Ccm si chama cha wananchi ni chama kilichojaa visasi, upendeleo na matabaka ya wenye nacho na wasio na nacho
4.Wema hatumii madawa kumbe makonda alimtongoza tu akamkataa ndo akaamua kumfunga
5.Wewe ndo uliyetumia nguvu kubwa kuwachonganisha nape na makonda
6.Wewe ndo uliyekua nyuma ya yaloendelea bungeni
7.Makonda si mtu kabisa ni binadamu asiye na utu kabisa ambaye hastahili kuwa DC
8.Makonda anatumia hii vita kwa njia za kulipiza kisasi na kukomoa
9.Wewe ni mnafiki kigeugeu na wa kupingwa na kila mmoja mwenye utimamu wa akili
10.Makonda ni msaliti wa ndoa yake anamnyanyasa mke wake kwa kuwa hana watoto ndo maana anatongoza kila mwanamke amtaka kimahusiano ili apate kick wakati ana mke halali
Hata ujisafishe vipi mungu atakuumbua mchana kweupe