The indigenous
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 312
- 143
Kweli mkuu,hiyo salamu maaluu (special recognition) niliisikia kweli me mimi nilijiuliza sana,kwamba kazma umebeba kitu ndani kwavyovyote vilealafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!
u maalum huo kwa bashite ktk tukio lile ni nini hasa aliomaanisha kusaga?!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app