Makonda na Makamba nini kinaendelea?

Makonda na Makamba nini kinaendelea?

Pale mkuu ni saikoloji imetumika... Maana kiitifaki alitakiwa awepo kwenye mtiririko wa utambuzi.... Lakini yy baada ya utambuzi akajifanya Kama kamsahau then akampa special recognition kwake.. Kwa sababu anazozijua yy... Pia kwenye speech ya January makamba kammaliza Kabisa jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mimi mwenyewe nimeona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!

u maalum huo kwa bashite ktk tukio lile ni nini hasa aliomaanisha kusaga?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upi huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu na tafsiri zetu,pengine sivyo walivyo ila tuna tabia za kuchonganisha watu,kwa maoni yangu makonda amejitaidi mno kuisimamia shughuli nzima ya mazishi hakika ameonyesha upendo na half ya kujitoa ktk mazishi ya ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa...
MWIZI ANAWEZA AKAJA AKAKUIBIA MILIONI 10 bila wewe kujua, LAKINI AKARUDI KWA MLANGO MWINGINE KUKUPA POLE YA MILIONI 2....

Sasa ni UZUZU pale unapoibiwa, UKAJUWA, UKALETEWA POLE NA UKAIPOKEA, NA KUTOA MISHUKURANI MIKUBWAAAAAA....
 
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake.

Kuna nini?
Wewe ni Mbeba mikoba wa January au Makonda?! Kwa jinsi unavyosema inaonesha mara kwa mara unawaona wakikutana lakini hawasalimiani! Au umeona tukio moja tu tayari umesha-conclude?! Kama ndiyo, una uhakika hawakuwa wamekutana hapo kabla?
 
Back
Top Bottom