Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA

"Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki mikononi mwenu lakini pia hakuchoka pale kwenye elimu anatamka, penye maji anatamka, kwenye Barabara anatamka wana Hai mnayo hazina" - Makonda

Paul Makonda ambaye ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM amezungumza hayo, Jumanne Januari 22.2024 akiwa Hai, mkoani Kilimanjaro na kuongeza kwa kusema Jimbo la Hai limepata Hazina, Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina nzuri kwa wana Hai.
Naunga mkono hoja, huyu ni hazina ya kweli!, tena amshukuru sana Mungu, maridhiano yamevunjika!, vinginevyo Jimbo la Hai lilikuwa ni miongoni mwa majimbo ya kwenye mgao wa nusu mkate!, maridhiano yangeendelea, Saashisha Mafue, alikuwa atoswe!.
P
 
Mwache tutakusaaidia kumwondoa mwakani akajishughulishe na madini
 
Ninasikiaga huko Jimbo la Hai, mbunge hana uwezo wa kurudi awamu ya pili .

2. Mafuwe anamtegemea sana Doto ili kupata jambo ambapo kipindi hiki Doto hatafanya kosa Hilo.

3. Tangu uhuru CCM inajenga vituo vya afya leo bado mafuwe anajigamba na vituo vya afya???
Kujenga vituo vya afya ni huduma endelevu maana vinajengwa kutokana na ongezeko la watu wa maneneo husika.
 
Huyu na Mathayo David wa same, wanaishi Chunya, makongorosi, ni kundi la wachimbaji wadogo wadhahabu.

2. Amehodhi zaidi ya leseni za PML 200 na hazifanyii kazi, akishirikisns na Doto.

3. Vituo vya afya alivyosema vimejengwa vyote , hakuna hata kimoja kinafanya kazi.

4. Ni kijana mwenye chuki sana anataka kukimiliki chama mwenyewe.

5. Anasoma PhD, udom ili awe sawa na yule Bibi!

6. Kila siku Yuko Chunya, akifika bungeni anauliza maswali mawili anarudi Chunya.

7. Orodha ya leseni zake zote alizo wanyanganya wachimbaji wadogo songwe, Chunya na Bukombe tutaziorodhesha hapo.

8. Ni kijana mbabe, na kuliko kupewa Jimbo Bora kulihamisha lirudi lilikotokea.
hivi kabla hajawa mbunge alikuwa anafanya kazi gani?
 
MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA

"Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki mikononi mwenu lakini pia hakuchoka pale kwenye elimu anatamka, penye maji anatamka, kwenye Barabara anatamka wana Hai mnayo hazina" - Makonda

Paul Makonda ambaye ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM amezungumza hayo, Jumanne Januari 22.2024 akiwa Hai, mkoani Kilimanjaro na kuongeza kwa kusema Jimbo la Hai limepata Hazina, Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina nzuri kwa wana Hai.
Mafue labda agombee serikali za mtaa sio ubunge
Screenshot_20240125-090551_Instagram.jpg
 
Sale ni mti unaoheshimiwa na wachagga.hautumiki hovyo labda kwa watu wasiojua maana ya kutumia majani ya sale.tusiwe limbukeni kutumia hilo jani kwamhemuko.mtaangamia.
 
Back
Top Bottom