Makonda: Mashoga wanataka kuniangamiza

Mkuu hii nchi ina matatizo na changamoto nyingi sijawah kutetea ushoga lakn kwa hili huyu jamaa anatakiwa awe na vipaombele hili jiji lina changoto nying sana aangalie kip ni bora kulko kingine ila kama jambo la ushoga ndio kipaombele chake basi sawa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ni tatizo. Wampeleke huko mikoani ambapo hakuna mashoga wa kumdhuru.
 
Kuanzisha vita na mashoga ni kujitafutia balaa. Soon the war will cross the borders into the unkown
Hahahaa... Kule kwetu kuna kamsemo kwamba.. 'Wekienda kuruka kianda uaghana na faya'.. Kwa hiyo akitaka kupima kina cha maji kwa miguu??
 
sasa kama alibaini mashoga zaidi ya 150 walikaa kikao kwanini asiende kuwakamata??hii nchi inamatatizo mengi sana aachane na hiyo ya mashoga
Ukiondoa mkusanyiko usio kinyume cha sheria, maudhui gani yanaweza kuzipa mamlaka sababu ya msingi ya kuwakamata watu wanaodhaniwa hushiriki mapenzi ya jinsia moja ikiwa hawakuwa wakitenda kinyume cha sheria?
 
Hii habari ina ukweli? Yaani anajua mpaka idadi ya watu? 150! Anasubiri nini asiwashughulikie au anajaribu kuionesha jamii kuwa naye ana maadui? Siasa ni kitu kingine kabisa.
 
Huyu jamaa naona hajui kazi kabisa,Dar inachangamoto nyingi sana,na yeye ndio mwenye kazi ya kuzitatua,ajabu leo anawatafuta mashoga waliolaaniwa na Bwana Mungu,huyu jamaa ni shida sana,yaani anakurupuka tu,nafikiri ni ile dhambi ya kumpiga makofi mzee Warioba.
 
Hawa ndo viongoziiii wa kutufikisha kwenye serekale ya viwandaaa
Yaani inabidi Watamzania tujiulize ni nini tulimkosea Mungu,huyu ndio mkuu wa mkoa wa Dar anawafuatilia mashoga,sasa wanapopakuliwa yeye ataweza kujua ni saa ngapi na wapi?,mtu anaweza kuwa ni shoga na ana dalili zote za ushoga,lakini kumtia hatiani ni lazima ukute anaingiliwa kuinyume cha maumbile,na watu hufanya machafu kwa kujificha,wacha Tanzania iendelee kuwa nyuma daima kama viongozi ndio hawa.
 
Hawa watu ni kuwakataa kwa nguvu zote kwenye jamii yetu naungana na makonda asilimia Mia nyinyi wateteeni tu hili swala ata maandiko matakatifu yanalipinga makonda asikate tamaa hawa watu wanaungwa Na watu wengi pambana ni Vita hii
Mkuu kuna changamoto zake pia just wait tuone nini kitakachotokea.
 
shoga anawezaje kumdhuru mtu Strong na jasiri kama mkuu?!

nasikua kuwa mashoga wameregea hata kuvunja Biskuti hawawezi
pia nimeskia wakimuona mwizi wanampiga na maganda ya mayai,
na wakimuona mende au panya wanakimbia au kupanda juu ya meza. mtumeeeee!!

sasa watamdhuru vipi mbabe wa vita. au sielewi mie
 
hahahah....hii nchi bwana. Anyway kuna point lakini mimi nadhani mhe. mkuu wa mkoa angemalizana na operation ya madawati kwanza, then hii ya mashoga ije iunganishwe na kampeni ya usafi wa jiji.
 
huyu mkuu wa mkoa wa ajabu sana yaani watu aliotangaza kupambana nao na kuhakikisha amewamaliza hapa mjini leo anaogopa na kwenda kukimbilia kushitaki clouds FM kuwa wamepanga kumuangamiza?
yaani mashoga waangamize mkuu wa mkoa?
 
pamoja na intelligensia kugundua kikao cha mashoga 150 bado hawakwenda kuwakamata kwanini?
 
yaani mashoga 150 wanakaa kikao mpaka wanamaliza mkuu wa mkoa anajua wanapofanyia bado asiamrishe kukamatwa. au mimi nawaza vibaya tu?
 
Hivi ukimfunga shoga una mfuga gereza gani la wanawake au lawanaume???
na akifungwa gereza la wanaume nn kitatokea huko gerezani??B-)a
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…