Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,441
- 2,878
Loooh!!! Huko sipo Mangi
Aise ,sema tu usimuogope yule bwana mdogo.
Loooh!!! Huko sipo Mangi
Tupo kwenye majonzi bana acha hizo!!Aise ,sema tu usimuogope yule bwana mdogo.
Tupo kwenye majonzi bana acha hizo!!
Na anaweza akayafanyia kazi ila za kijingaAnaweza akayaelewa na asiyafanyie kazi.
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme.
Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana live furthermore Askofu mkuu wa KKKT nae kasema vijana wadogo wanapewa madaraka wanavimba kama puff harder aina ya nyoka. #mndumiiulutaremee
Nakukubali sana MkuuAnaweza kuyasikia lakini asiyaelewe.
Kweli mkuu anajiona yeye kekiNaibu Rais leo ameyapata makavu.
Za Makonda akiwa na nani?Hahaa haaa Anatafuta kujisafisha tu ... mimi nita muona mjanja sana endapo kama atafanya jitihada na yeye avujishe za makonda ....
Hapo mchezo ndio utakuwa 0:0
Nko mlofu lipotinise mfodo nywi' liponekase vyogatuyu nui dweo biresufo ceshnui wagutuhi regu wertbuie deruei mbofanye fanye Askofu .ngakuwia leka monowama.Limakondali lye ili mofyinya chu acha leka madaraka 2025 ibidi lihende Rwanda kifa kunu Tz wandu weidima likapa risasi tsa dako.
Ma-golddeeger wa ki-bongoZa Makonda akiwa na nani?