Hahaa haaa Anatafuta kujisafisha tu ... mimi nita muona mjanja sana endapo kama atafanya jitihada na yeye avujishe za makonda ....Amezini mkuu ila analalamika ULE MKONO NI WA BAUNSA sio wake...haahaaahaaaaaa,
Amezini mkuu ila analalamika ULE MKONO NI WA BAUNSA sio wake...haahaaahaaaaaa,
Lakini haifuti ukweli kuwa gwajima amezini
Duhhh!!! Leo Makonda kashikwa mwanaCCM kamuumbua.
UCHAGANI HAWAZALIWI MABOYA AISEEEEEEEEEEEEEEEEAmemshika wapi maana yule bwana mdogo
Past ipi yule mnafiki tena badala aombe msamaha kwa dhati anajitahidi kujitetea..hamna kitu pale ..mahali ni pazuri,ndugu wanapokaaaaaaaaaaaaaaaa
wakipatana vyema na wakipendanaaaaaaaaaaaaa.let us forget the past
Nitafurahi kama kuna mtu atanipa nyimbo ya "kubwa jinga"Makonda, kubwa jinga
Hahahaaaa Anajifanya anakaza mbele ya Askofu.Imebidi nicheke eti anavimba kama puff adder aka kifutu.
Anaweza kuyasikia lakini asiyaelewe.
mbutukuuuu!ngakuwia leka monowama.Limakondali lye ili mofyinya chu acha leka madaraka 2025 ibidi lihende Rwanda kifa kunu Tz wandu weidima likapa risasi tsa dako.
UCHAGANI HAWAZALIWI MABOYA AISEEEEEEEEEEEEEEEE
Loooh!!! Huko sipo MangiAmemshika wapi maana yule bwana mdogo