Makonda, kwanini kila ukimtaja Rais Magufuli lazima ukosee na kumtaja Kikwete?

Namsikiliza Makonda hapa Clouds alipokwenda kujikosha kuhusu shisha na rushwa ya Polisi akikosea tena badala ya Rais Magufuli na kuanza kutaja Rais Kikwete.

Hii sii Mara ya kwanza, hilo kosa analifanya sana na Magufuli ana zaidi ya mwaka ndani ya cheo hicho.

Wataalamu wa saikolojia wanaamini kuwa yule aliyejaa kichwani mwako ndiye mwepesi kumtamka mdomoni.

Jee Makonda akili yake bado imejaa kwa Rais Kikwete kuliko Magufuli au hilo linatokea kwa vile anaripoti mambo kwa Kikwete kinyemela?

JPM Ajichunge kwani wapo wateule wake ambao akili zao hazipo kwake Bali kwa mtangulizi wake.

Kimtokacho mtu, ndicho kiujazacho moyo wake.

Mtu hutamka kwa wepesi mambo yaliyomo ndani ya moyo wake.

Kwa hawa wawili mmoja yuko ndani ya moyo na huyu mwingine yuko kichwani.
 
Hapo mwanzo hakuna aliyeweza kuwaza ulichoandika lakini leo walau gt kama Chakaza wanang'amua, kwa slow thinkers muda utawaeleza. Kibaya mkilia lieni kwa sauti za chini.
 
Kutoa au kupokea rushwa ni kosa la jinai. Makonda kama RC anafahamu hilo!

Makonda kama RC alikuwa hatakiwi kusubiri PM, kulalamika kwamba kuna watu walijartibu kumuhonga akakataa. Makonda kama RC alitakiwa kuwaweka watu huo chini ya ulinzi na kuwaita PCCB hapo hapo bila kusubiri kulalamika kwa PM tena mbele ya hadhara.

Kuna DC wa Bunda 2014(?) Wachina walifika ofisini kwa DC kwa nia ya kumhonga. Wachina walipotoa hiyo hongo kwa DC, DC huyo wa Bunda akawaweka chni ya ulinzi, na hapo hapo akawaita PCCB. Wachina wakashikwa red handed na rushwa yao mkononi. Wachina hao wakapelekwa mahakamani na kwa kuwa ilikuwa red handed, wachina wakakili kosa na mahakama ikatoa adhabu kwa hao Wachina. Jambo hilo ndiyo alitakiwa Makonda kufanya.

Kitendo cha Makonda kuwaachia watu waliofika ofisini kwake kumuhonga bila kuchukua hatua yeyote is obstruction of justice. Makonda amewalinda wahalifu. Kwa kufanya hivyo mamlaka iliyomteua inatakiwa kumchukulia hatua na kinidhamu mara moja, unless mamlaka hiyo nayo ina condone vitendo vya rushwa.

Makonda is guilty!
Nakubaliana na wewe kabisa
 
Namsikiliza Makonda hapa Clouds alipokwenda kujikosha kuhusu shisha na rushwa ya Polisi akikosea tena badala ya Rais Magufuli na kuanza kutaja Rais Kikwete.

Hii sii Mara ya kwanza, hilo kosa analifanya sana na Magufuli ana zaidi ya mwaka ndani ya cheo hicho.

Wataalamu wa saikolojia wanaamini kuwa yule aliyejaa kichwani mwako ndiye mwepesi kumtamka mdomoni.

Jee Makonda akili yake bado imejaa kwa Rais Kikwete kuliko Magufuli au hilo linatokea kwa vile anaripoti mambo kwa Kikwete kinyemela?

JPM Ajichunge kwani wapo wateule wake ambao akili zao hazipo kwake Bali kwa mtangulizi wake.
Awali ni Awali tu, JK ndiye aliyemuibua, ana haki ya kukosea bado ni mapema mno, kuna watu hata barua mbado wanaandika 2015!
 
Namsikiliza Makonda hapa Clouds alipokwenda kujikosha kuhusu shisha na rushwa ya Polisi akikosea tena badala ya Rais Magufuli na kuanza kutaja Rais Kikwete.

Hii sii Mara ya kwanza, hilo kosa analifanya sana na Magufuli ana zaidi ya mwaka ndani ya cheo hicho.

Wataalamu wa saikolojia wanaamini kuwa yule aliyejaa kichwani mwako ndiye mwepesi kumtamka mdomoni.

Jee Makonda akili yake bado imejaa kwa Rais Kikwete kuliko Magufuli au hilo linatokea kwa vile anaripoti mambo kwa Kikwete kinyemela?

JPM Ajichunge kwani wapo wateule wake ambao akili zao hazipo kwake Bali kwa mtangulizi wake.
Audio tafadhali
 
Back
Top Bottom