kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,487
Hahaha aluuuu.... We mmbaya
Tatizo ni mkuu huziba Masikio pindi Makonda anaposemwa kwa ubaya, ila haya ni matusi tosha...Makonda mpaka aje amtukane Magufuli mwenyewe labda ndio hatua zitachukuliwa. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka