Makonda kumbuka kuna kesho

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,905
4,053
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"

cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.

jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.

kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
 
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"
Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
 
Yaani huyu jamaa sasa amepitiliza........

Eti ana mamlaka ya kumfukuza Raia yeyote asiyemtaka ndani ya Mkoa 'wake' wa Dar!
 
Ukiwa na pesa nyingi,umri wa 40's afu ukakosa mtoto kila mtu unamwona kama adui na kunyanyasa mtoto wa mtu kwako inakuwa kawaida sana...jamaa atatambua kuwa kuna kesho atakapopata mtoto maana atakuwa ameelewa uchungu wa mtoto!
 
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"

cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.

jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.

kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
amesikia. elekeza nguvu zako kujadili mambo mengine ya muhimu katika nchi yako na sio kumjadili makonda. wewe umeifanyia nini tanzania katika mapambano ya dawa za kulevya???
 
Nyie vichaa kweli kila jambo anakosea. Hadi kuachia hio kazi mamlaka ya kupambana chini ya kamishna mpya nako amekosea.. Hivi hizi chuki juu ya kijana Mwenzenu mmezitolea wapi?? Makonda makonda tu kila thread makonda..
 
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"

cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.

jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.

kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.
Anaamini mtu anayeweza kumshauri ni yule aliyemteua basi, wengine wote ni watu wadogo sana kwake.
 
Kawaziba mianya yao ndio maana wanapiga kelele, bigup makonda safi sana walizidi mateja mitaani
 
"Rais kikwete Leo ni mstaafu"

cheo ni dhamana,basi sikiliza ushauri, unaonekana una dhubutu lakin siku zote approach zako unazikosea sana.

jifunze kutoka mawazo ya wengine sio kila ushauri ni tusi.

kabla ya kufanya Jambo kubwa tafuta wanasheria nguli wakushauri kabla ya kulifanya.

Kwa hiyo ndo tuseme umpe laana au? Kama maisha yangekuwa rahisi kihivyo basi hii Dunia ingeshabadilika zamani sana!
 
Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
Wewe umeyajuaje hayo yote uliyoyaandika kama unafanya yako???
 
Msijali mtaletewa tamthilia nyingine kali kuliko hii. Ile ya "ufaulu mbovu" mliipokea vibaya ndio maana mkabadlishiwa dvd mkawekewa hii ya madawa iliyoisha leo.

Endeleeni kufuatilia vipindi vyetu kwa tamthilia nyingine kemkem
 
Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
msihishi=msiishi!!
Hivi kuna siku inaisha humu ndani hujamtaja mbowe au lisu!

Kukaa unataja taja wanaume wenzio unataka wakuombe nini? kama kuolewa si useme!!
 
Ukiwa na pesa nyingi,umri wa 40's afu ukakosa mtoto kila mtu unamwona kama adui na kunyanyasa mtoto wa mtu kwako inakuwa kawaida sana...jamaa atatambua kuwa kuna kesho atakapopata mtoto maana atakuwa ameelewa uchungu wa mtoto!
maneno mazito sana haya
 
Back
Top Bottom