Makonda: Kombe la AFCON litabaki nyumbani

Labda waibe kama wanavyoiba uchaguzi na mali za wananchi.
 
Anafikiria ni Mwenge wa uhuru au katiba bovu wanalolishikilia kwa miongo
Kuna watu wamebakiza kombe kupitia Email na vikao nyuma ya milango iliyofungwa ndani wakiwemo wauguzi km yeye ndani ya suti na bahasha za rushwa kama zote.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akieleza kuwa si ushiriki tu bali pia itachukua ubingwa wa kombe hilo.

Amesema kuwa ushiriki wa Tanzania katika michuano hiyo unatoa nafasi ya kipekee ya kulitangaza taifa kimataifa.

Waziri Makonda ameyasema hayo jijini Arusha leo, Machi 24, 2026, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili, akibainisha kuwa Tanzania, kwa kushirikiana na Kenya na Uganda, ina kila sababu ya kuwa na matumaini makubwa katika mashindano hayo.

Soma: Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027

Aidha, amesisitiza kuwa kipindi cha mashindano kitakuwa dirisha muhimu la kuitangaza Tanzania Bara na Zanzibar, huku akibainisha kuwa matumizi ya lugha ya Kiswahili katika matangazo na mawasiliano ya mashindano hayo yatasaidia kukuza hadhi na ushawishi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya nchi.

Zero brain kapewa kisemeo. Attention seeker
 
Labda kwa kuliteka
 
Back
Top Bottom