Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,762
Let us JF to be honest ,ITV walikuwepo ,Jaji Warioba mhusika mkuu yupo hai na akina Butiku wapo na wanacheria wengine pia nao walikuwepo wapo ,zaidi ,muhimu ni huyu mhusika mkuu aite press conf, au watu wa press wamuendee kwake ofisini wahojiane nae ,tusiwe katika njia ya waongo kwani njia ya muongo ni fupi.Leo mnasema warioba kapigwa wengine wanasema hakupigwa (kurushiwa chupa au viti ) ,tension imekuwa zero,uhakika wa kilichotokea umepotea.
Inahitajika backup ya kilichotokea ,hakuna haja ya kupigwa Makonda kwa habari za uzushi ,kwani UKAWA inajenga kujiamini kwa hoja na sio uzushi ,CDM CUF TLD NCCR na wengine huwezi kutumia propaganda kwa tukio linalorekodiwa ,propaganda yako haitafika mbali itazimwa kirahisi na kuonekana mnasema uwongo mbele ya macho ya wananchi.
Ni kweli fujo lilitokea hilo limesikika na kuonekana lakini hili la kupigwa Jaji Warioba bado ,inawezekana alitaka kuvamiwa kwa action za picha ,tuwekeni mikakati katika ukweli kwa baadhi ya mambo kama haya.