Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Ubuyu Huu cjaupata mkuu Wapi alitangaza Deni la kubenea?Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Miss madeko , alisema kwa wale waliosaidiwa na dr Mengi , yeye akamtaja na kubenea wana deni kubwa kwa mengi , yaani katika kumuenzi.
Makonda na Ruge walipatanishwa jukwaani Tanga na rais Magufuli, tukio la kanisani ni la kujirudia.Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?
Sababu anasifa sana afu anafeli kwenye vitendo na kauli zake,ABADILIKE....OvaDuuh, hii kweli nyota ya duduwasha, yaani kila analofanya huyu Mh. Wananzengo wanamkosoa.
Hoja zako ziko vizuri, hasa 4 na 5, hizo zina uzito zaidi. Lakini bado kuna watu huwezi ukawaambia lolote wakakuelewa.Wakuu, Kwa ujumla mimi huwa ni Mshabiki wa Makonda kindakindaki ila kufuatia Msiba wa Mengi! Makonda alikosea katika maeneo yafuatayo!
1. Hakupaswa kuhusisha Msiba wa Mengi na tabia za Wachaga!
2. Hakupaswa kutangaza Deni la Kubenea hadharani maana Mkopo ni Siri ya Mkopaji na Mkopeshaji, na kwa kuwa Mkopeshaji hayupo basi angemkumbusha mkopaji kwa njia ya kistaarabu.
3. Hakupaswa kuvaa Mavazi yale aliyovaa Msibani Maana yanaashilia Uhuni, Usanii, au tunawea kuuita Utoto.
4. Hakupaswa kujitetea Baada ya SG Bashiru kumuombea msamaha pale Kanisani.
5. Hakupaswa kusita kuitika wito Baada ya kuitwa na Askofu pale Kanisani.
Huo ni mtazamo wangu tu! Japo na sisi walalamikaji tungeweza kunyamanza kimya pasingekuwepo na Mjandala wowote na wala tusinge athirika kwa Sababu hakuna ubishi kwamba katika Makabila ya Tanzania Wachanga wanachukua nafasi ya 1 kwa Utafutaji wa Pesa
Kwani wewe aliposema neno deni wewe ulifikiria ni deni la pesa au kitu gani?Na deni la Kubenea nalo ni utani!!??
Hukuona aichokifanya pale kanisani aisee?Too much allegations,why mnachukia binadamu mwenzenu hivi?
Nilitaka kushangaa Mrs Bashite (mchepuko) Uzi ukupite hivihivi usiseme kitu?NA UBAILI pia!