Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
msameheni yule . .
hajui alitendalo
 
Na deni la Kubenea nalo ni utani!!??
 
Inasikitisha katika karne hii ya 21, watu wenye akili bado tunapambana kutetea au kuzodoana makabila na ujinga ujinga huu. Makabila ndo nin kwani? Wew msukuma au mmakonde au mchaga, so what? Ili iweje? Inakufaidi nini kama mTZ wa leo. Mtoa mada umezingua sana na wote mnaofeel offended kwa kabila lenu mnazingua pia.

Binafsi sipendagi hata kuuliza or kujua flani ni kabila gani, nampa heshima na treatment na ushirikiano bila kujali jina lake la mwisho.Hizi tabia waachieni majirani huko, mambo haya ni aibu na yanatia kichefuchefu.

Utaifa wetu kwanza, nafeel proud kuwa mtanzania sio kwa kabila langu bcuz ni vitu vya kupita. Makabila flush chooni yaende huko kitu gani bwana.
 
Huo ni mtazamo wangu tu!.
Utasubiri sana, na hili ni upepo tuu nalo litapita.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
 
Mbona unaonekana una msongo wa mawazo uliokubuhu?? mambo ya mavazi yametoka wapi hapa?
 
Mavazi gani hayo unayoyaita ya kihuni ?
Nini maana ya uhuni ?
Mhuni ni nani?
 
Weka ushaidi kama wewe ulikuwa mshabiki wa Makonda.
 
Utani kwenye jambo serious kama msiba,walao ukiwa ni mtani wa kiasili wa kikabila,kwa mbaali utaeleweka,japo napo kwataka umakini.Madeni yasiyomhusu,kuyatamka hadharani si uungwana.Marehemu ana mke wake (labda ayajua zaidi yake) na ana nduguze pia.Pili,si ajabu hata marehemu hakuwa na mpango wa kulifuatilia,japo ustaarabu ni mhusika mwenyewe kulipa.Ila haikuwa vema kujiweka kuwa mwadilifu zaidi ya Kubenea,hadi kuanika maneno ya ajabu vile.Alikosea kweupee!
 
Miss madeko , alisema kwa wale waliosaidiwa na dr Mengi , yeye akamtaja na kubenea wana deni kubwa kwa mengi , yaani katika kumuenzi.
 
Yawezekana hakupata fursa ya kuishi hivi au hakufikiria kabisa kwamba kuna siku ataishi hivi akiwa mdogo sababu ya familly background; sasa analipizia.

Simtetei ila anahitai wana saikolojia kumuweka sawa kabla ya mambo hayajamharibikia zaidi.
 
Miss madeko , alisema kwa wale waliosaidiwa na dr Mengi , yeye akamtaja na kubenea wana deni kubwa kwa mengi , yaani katika kumuenzi.


Pamoja na hili hawezi kuvaa viatu hivyo tayari yeye ana kiburi cha uzima so yeye abaki kutingisha makalio tuu kama vile Bi kiboga akipata danga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…