Makonda ha-fit kuwa Waziri Kamili, icho kiti kilipaswa kuwa cha MwanaFA

Makonda ha-fit kuwa Waziri Kamili, icho kiti kilipaswa kuwa cha MwanaFA

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na itikadi za Makonda

Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa labda Tamisemi au mambo ya ndani, au wizara ya ardhi, au uvuvi. huko akapambane na majangili maana kuna wizara zinazohitaji ghadhabu na matumizi ya nguvu.

Lakini Wizara hii ya habari, sanaa na michezo ni wizara inayotaka mtu kwanza awe mtu wa watu, pili awe mtu anayejua michezo yote ya Sanaa na Sports kwa ujumla.

Binafsi MwanaFA alifaha sana kuwa waziri kamili wa wizara hii, kwanza jamaa ni msomi ana elimu ya juu na ya kutosha, pili jamaa kaishi kwenye sanaa na hajawai kupwaya katika wizara hiyo. Na ndio maana hujawai kuona wizara hii ikizingua tangu jamaa awepo, na alikuwa akiona migogoro anaiwai kabla haijakuwa mikubwa. Pili jamaa anawajuwa big fish, influencer, na wadosi wanaoweza kusukuma mipango ya mambo ya sanaa na michezo kwa sababu yeye mwenyewe ni mmoja ya waliolelewa na wizara hiyo tangu kipindi anaachia magoma
 
Na ulivyo msifia hivyo' ajiandae, miezi 6 haifiki watamtoa hapo... Jipe muda
 
Huyo Kobaz ulomtaja sindo alokula hela za ujenz taifa akishirikiana na yule kafir wa jalalani?
 
Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa labda Tamisemi au mambo ya ndani, au wizara ya ardhi, au uvuvi. huko akapambane na majangili maana kuna wizara zinazohitaji ghadhabu na matumizi ya nguvu.
Angebakia tu na ubunge wa kupewa hata huo uwaziri wa kupewa haumfai
 
Afadhali makonda kuliko mwana fa, makonda ana wigo mpana ki uongozi serikalini. Mwana fa hana wigo mpana kulinganisha na makonda
 
Back
Top Bottom