Makonda azua balaa kitaa

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Baada ya kutangaza vinywaji vyote nusu bei kwa masaa sita watu hawakulala kutafuta fulsa


Nashuri siku nyingine aseme mchele na unga nusu bei maana si kwa kujimwagia huku
IMG-20190324-WA0034.jpeg
IMG-20190324-WA0033.jpeg
IMG-20190324-WA0032.jpeg
IMG-20190324-WA0031.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemuona wa maana kama angeshusha bei ya vyakula...ila yeye kakimbilia kwenye pombe, moja ya kilevi kinachomkasirisha Mungu, na ndio maana mabalaa yanatutokea kila mahala, mafuriko, vimbunga, na hata baadhi za sehemu mvua zinagoma kunyesha.
 
Kila mtu na imani yake...yangu mm ineandika ni dhambi
Kuna mida nahisigi dhambi za vyakula na vinywaji zinategemeana na maeneo na mazowea...
Mirungi Tanzania dhambi ila Kenya na Somalia sio dhambi..
Bangi nchi zingine dhambi ila nchi zingine sio dhambi na ni dawa.
Wanyama kama ngamia, nguruwe, mbwa n.k maeneo mengine haramu ila kwingine ni halali
Pombe madhehebu mengine tena ya dini moja ni dhambi naengine si dhambi....
This world buanaa..
Safari ya kiimani si ya kuigana kwakweli kila mmoja ana safiri kivyake akipambana na changamoto zake.

Nokia kitochi a.k.a mulika mwizi
 
Back
Top Bottom