Tetesi: Makonda azima muziki element; amkasirisha Omarion

Jiji limemshinda,mipango yake yote ya maendeleo anayotaka kufanya haifanikiwi!
Ndomana anakimbiliaa kwenye vitamasha kujionesha

Ova
 
mambo yake binafsi na yasio na afya na nchi hayana maana ni yeye na mapunga zeze wenzake!
 
Fight night...!!
My real nigga left,
My fake nigga in ryt,
all in all fxxk this niggas
All in all we do this shit.

Paaaa..paa....paaaah..
E'm fxxk this niggas
Ryt shit happens
Learn and on this elements,
19 clubs got element
Since im on elementary,
Fire element, through alpha elements local place we in through elements shut down bow side good musical elements.

Paaa ...kriiii paaa paaah..

My real nigga in left
My fake nigga in ryt.

Hebu nipeni beats ni flow hip hop / trap beats hip hop.

Kama Quavo huncho / migos.
fight night
 
Ina maan huyu omarion kakosa sehemu za kupiga show ulaya mpaka anafikia kufanya show kiwanja kama Elements?
 
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na Msanii huyo wa Marekani, Omarion na kusababisha shughuli io kuisha mapema na msanii huyo kujawa na Jazba. Fuatilia zaidi

- Majungu at best, I was there kwenye Show hakuna wakati wowote RC alikutana na Omarion ambaye alipoingia ailkwenda moja kwa moja jukwaani kuanza ku perform, RC alindoka 30 Minutes kabla Omarion hajamaliza show yake, hata sehemu za kukaa zilikuwa tofauti kabisa, Omarion alipangwa kukaa na Diamond upande wao na RC alipangiwa upande tofauti kabisa,

- Nimeamini ni Taifa la wazushi na ndio maana Rais wa sasa amegoma kabisa kusikiliza mitandao maana inaongozwa na watu wasiojitambua kabisa, Sheria inasema unapopiga muziki wa wazi mkoa wa Dar ni lazima umalize by Saa Sita ili usisumbue wananchi wanapumzika majumbani mwao, Elements huwa wameziba ila siku hiyo walitanua ukumbi na kuwa wazi kama nje ndio maana ilibidi wamalize Saa Sita kama wengine wote,

I mean hata Zamaradi alipoolewa tuliambiwa na RC ndiye chanzo cha Zama kumuacha Ruge, jamani haya ni maajabu ya Dunia ndio maana Tanzania itaendelea kuongozwa na Wazee maana Vijana kazi ni kupigwa vita na Vijana wenzao, tizama Gavana mpya wa BOT ni mzee alitakiwa kuwa kijana mdogo, lakini imagine apewe kijana mdogo makelele ya Mitandao, sad!

le Mutuz
 
Huyu jamaa fala sana. Ina maana watu waliokua Element wakaona walikua wanaona mazingaumbwe?
 
Wewe ni kijana au mzee? Mbona hujapewa cheo chochote hadi sasa kama nawe sio mpiga majungu?
 
Back
Top Bottom