evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,901
Ulimsikia nape alivyoongea# 39 umekazia ukabila ✅️.Tupe proof hawakushinda lakini wakatangazwa washindi na lengo lilikuwa ni nini?

Waongeze dozi ya sumu ile waliyompiga haikutosha.Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.
Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo
Kiufupi, Makonda ni Mzigo
MakubwaArusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania
Arusha kila mtu ni mfanyabiashara
Arusha wahuni ni wengi saana
Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.
Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.
Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo
Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Ndio ukweli wenyeweMakubwa
Huyo GABO auPascal Mayalla anamkubali Sana huyo mwamba.
Hapo kwa madiwani Sasa, napasubiri kwa hamu kubwa.Ngoja madiwani waje!
Tangu atambe kuhusu goli la mkono, nina allergy naye huwa simsikilizi.Ulimsikia nape alivyoongea