Makonda awe makini na mji wa Arusha

Makonda awe makini na mji wa Arusha

Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania

Arusha kila mtu ni mfanyabiashara

Arusha wahuni ni wengi saana

Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.

Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.

Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo

Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Aona Gambo anamtisha Konda kupitia wazee. Hawa lazima wawekeane sumu kwa namna wanavyotfutana.
 
Repy yako # 39
Sijaandika hivyo
Jimbo la Hai Mbunge aliyetangazwa hakushinda .
Mbeya Mjini hakushinda
Wote hao hawakuwa kabila moja na jiwe .
Nimekutajia baadhi ya majimbo ambayo wagombea wa ccm walitangazwa washindi kimagumashi wote hawakuwa kabila moja na jiwe
 
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania

Arusha kila mtu ni mfanyabiashara

Arusha wahuni ni wengi saana

Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.

Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.

Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo

Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Wewe ni team Gambo....vumilia spana za Makonda kwa bossi wenu.

Tui MamaSamia2025 ChoiceVariable
 
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania

Arusha kila mtu ni mfanyabiashara

Arusha wahuni ni wengi saana

Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo.

Wazee hawamkubali kabisa kabisa, kwanza anaharibu biashara za watu kila siku anaziba barabara kwaajili ya maslahi yake kisiasa
Bado anaharibu taswira ya chama kwa kuropoka hovyo kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa.

Lakini cha muhimu zaidi, tangu aende Arusha hakuna ch maana kilichobadilika Arusha tofauti na Mwanzo

Kiufupi, Makonda ni Mzigo
Labda KARMA imeanza Kazi zake !
 
Naendelea kusubiri mrejesho
 
Wewe hujui siasa za Arusha kabisa. Hao wazee uliokuwa nao hawana impact. Utamlaumu bure Makonda ila Gambo hatakiwi na wakubwa pia achilia mbali viongozi mkoa wa Arusha. Gambo enzi zake aliwazingua mno tour operators... kumbuka pia ndo aliyesimamia uporaji kwenye bureau de changes. Gambo hatakiwi kabisa. Makonda kuja Arusha ni kama imerahisisha kazi ya kumnyoosha Gambo. Kimsingi Gambo ni mbunge wa muhula mmoja.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Arusha ni mji wa Wamasai na Wameru. Wachaga ni wakuja tu kama Wasukuma na makabila mengine hapo Arusha. Eti Wachaga wa Arusha!!
Hujui chochote.
50% ni uwekezaji wa wachaga..
Gusa kila biashara kubwa ni wachaga, hardware kubwa 80%
Hotel kubwa 80%
MAsoko yote makubwa na madogob70%

Wamejaa wachaga
 
Inaoneka wewe utakuwa ni mdhulumati na una hulka ya wizi wizi na kupenda shortcuts kama ilivyo asili yenu watu wa kaskazini na hivyo basi lazima makonda awe adui yako.
Sasa kuna jambazi kuu kama Makonda?
 
Kumbe arusha Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania!! Aise sometimes muweke na akiba ya maneno

Kuna Dar na Mwanza, sijui unayachukuliaje majiji haya!
huwezi kuelewa hadi umeelewa.
Arusha ni pango la wanyang'anyi wote nchi nzima.

JK family imewekeza mnoo Arusha.
Vigogo wakubwa na wafanyabiashara asilimia kubwa wamewekeza Arusha...biashara halali na haramu.
Arusha ni kitu nyinyine...lakini uwe na jicho la 3
 
Sijaandika hivyo
Jimbo la Hai Mbunge aliyetangazwa hakushinda .
Mbeya Mjini hakushinda
Wote hao hawakuwa kabila moja na jiwe .
Nimekutajia baadhi ya majimbo ambayo wagombea wa ccm walitangazwa washindi kimagumashi wote hawakuwa kabila moja na jiwe
# 39 umekazia ukabila ✅️.Tupe proof hawakushinda lakini wakatangazwa washindi na lengo lilikuwa ni nini?
 
Huyo jamaa anatamani sana kuwa mbunge,
wakati yupo dar alitaka kuwa mbunge wa kigamboni akafeli,
leo yupo arusha anatamani awe mbunge wa uko, halafu makonda na gambo si walikua vipenzi vya mwenda zake hawa!
sasa mbona wanararuwana wenyewe kwa wenyewe?.
Vita yao kuu ni UBUNGE
 
Hujui chochote.
50% ni uwekezaji wa wachaga..
Gusa kila biashara kubwa ni wachaga, hardware kubwa 80%
Hotel kubwa 80%
MAsoko yote makubwa na madogob70%

Wamejaa wachaga
Kwahiyo unataka kutuambia Arusha ni ya Wachaga au? Sawa na kusema Dar siyo ya Wazaramo na Wakwere. Hatuzungumzii uwekezaji bali wanyeji wa eneo husika. Acha kuwa na akili za kinyumbu.
 
Back
Top Bottom