Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,871
- 29,057
Bwana Makonda Hivi kufanya kigamboni kuwa soko la magari ile ilikuwa ni ahadi au mipango? Mbona hujaitimiza?
Siku ya kazi kesho........kwani haiwezi kupokelewa na kimykimya?Nadhan itakuwa vizuri watu wote tujumuike kufurahia maendeleo yetu pale JNIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kata moja watu 300...usafiri upo wa kwenda na kurudi .[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Vipi kuhusu waliowahi kucheat au kufanya forgery popote?
0000+
korosho korosho koroshow alisikika akisema mlevi mmoja! wanunua koroshow au wakagua mashamba? alihoji? wakagua mashamba? haya mbona hakuna wese? wakagua mashamba au mipaka? kama tatizo kangomba? na wasafirishaji je? unawakagua? mbona hawalipwi? mikurupuko na mihemukoo jazzNadhan itakuwa vizuri watu wote tujumuike kufurahia maendeleo yetu pale JNIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawasili SAA ngapiWakati kesho Ijumaa Januari 11, 2019 Serikali ya Tanzania ikitarajia kupokea ndege yake ya Airbus A200-300, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaopaswa kufika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi hayo wawe ni aina ya watu wanaotekeleza ahadi zao.
Akizungumza leo Alhamisi Januari 10, 2019 na waandishi wa habari, Makonda amesema ujio wa ndege hiyo umetokana na ahadi za Rais John Magufuli za kulifufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
“Pamoja na changamoto zote hizo za kupingwa, lakini mwanaume huyu (Magufuli) amekuwa shupavu kapambana na kesho inatua Airbus ya pili ikiwa ni kati ya zile ndege mbili kubwa alizoziagiza kati ya ndege saba zinazopaswa kuletwa kwa ajili ya shirika letu la ndege,” amesema.
“Niwaombe tu kama wewe ni mwananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na ulishawahi kutoa ahadi ukatekeleza, tukutane kesho Uwanja wa Ndege na wale ambao hawajawahi kutekeleza ahadi zao wasije.”
“Kwa watakaobaki majumbani tutakuwa tumepata jibu kwamba ni wale ambao wametoa ahadi lakini hawajawahi kutekeleza.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 991351
Yeye kuna hata kimoja amewahi kutekeleza? Atahudhuria?Wakati kesho Ijumaa Januari 11, 2019 Serikali ya Tanzania ikitarajia kupokea ndege yake ya Airbus A200-300, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaopaswa kufika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi hayo wawe ni aina ya watu wanaotekeleza ahadi zao.
Akizungumza leo Alhamisi Januari 10, 2019 na waandishi wa habari, Makonda amesema ujio wa ndege hiyo umetokana na ahadi za Rais John Magufuli za kulifufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
“Pamoja na changamoto zote hizo za kupingwa, lakini mwanaume huyu (Magufuli) amekuwa shupavu kapambana na kesho inatua Airbus ya pili ikiwa ni kati ya zile ndege mbili kubwa alizoziagiza kati ya ndege saba zinazopaswa kuletwa kwa ajili ya shirika letu la ndege,” amesema.
“Niwaombe tu kama wewe ni mwananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na ulishawahi kutoa ahadi ukatekeleza, tukutane kesho Uwanja wa Ndege na wale ambao hawajawahi kutekeleza ahadi zao wasije.”
“Kwa watakaobaki majumbani tutakuwa tumepata jibu kwamba ni wale ambao wametoa ahadi lakini hawajawahi kutekeleza.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 991351
Ni a220-300 siyo a200. Rekebisha.Wakati kesho Ijumaa Januari 11, 2019 Serikali ya Tanzania ikitarajia kupokea ndege yake ya Airbus A200-300, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaopaswa kufika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi hayo wawe ni aina ya watu wanaotekeleza ahadi zao.
Akizungumza leo Alhamisi Januari 10, 2019 na waandishi wa habari, Makonda amesema ujio wa ndege hiyo umetokana na ahadi za Rais John Magufuli za kulifufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
“Pamoja na changamoto zote hizo za kupingwa, lakini mwanaume huyu (Magufuli) amekuwa shupavu kapambana na kesho inatua Airbus ya pili ikiwa ni kati ya zile ndege mbili kubwa alizoziagiza kati ya ndege saba zinazopaswa kuletwa kwa ajili ya shirika letu la ndege,” amesema.
“Niwaombe tu kama wewe ni mwananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na ulishawahi kutoa ahadi ukatekeleza, tukutane kesho Uwanja wa Ndege na wale ambao hawajawahi kutekeleza ahadi zao wasije.”
“Kwa watakaobaki majumbani tutakuwa tumepata jibu kwamba ni wale ambao wametoa ahadi lakini hawajawahi kutekeleza.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 991351
Nani alikwambia zimekodishwa?Hii pia imekodishwa? Hivi hizo lease (mkataba wa mkopo) ni za miaka mangapi na kila mwaka tunalipia kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikwambia zimekodishwa?
Ni kweli au mtu tu katumia hilo jinaNimezipenda hizi tweet kwa kweli![]()
![]()
Sent from my SM using Tapatalk
Weka hapa tuone au tupe source.