Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

PAUL C.Makonda....wewe ndio mtetezi wetu....je sisi WENZAKO MASHOGA tunaruhusiwa kwenda kuipokea hiyo AIRBUS 220-300.
 
Wenye vyeti vya ku foji jee?RC dar hajawai fanikia kwa jambo hata moja kama ana bisha aseme ni lipi.
Pia ni ushamba kwenda kila siku uwanjani kupokea ndege.QATAR Emirates vi nchi vidogo huwa wananunua ndege 60 za aina ya AirBus 330 kwa wakati mmoja na hawakeshi airport kuzipokea.
Lizaboni
Acha zako mkuu kwa hapa tanzania ni agharabu kuwa na ndege kubwa kama zile pili ni maendeleo (step up) kwanini watanzania wasiende kufurahia ndege ambayo imetokana na kodi zao wenyewe!

Positivity is poverty

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Wakati kesho Ijumaa Januari 11, 2019 Serikali ya Tanzania ikitarajia kupokea ndege yake ya Airbus A200-300, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaopaswa kufika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi hayo wawe ni aina ya watu wanaotekeleza ahadi zao.

Akizungumza leo Alhamisi Januari 10, 2019 na waandishi wa habari, Makonda amesema ujio wa ndege hiyo umetokana na ahadi za Rais John Magufuli za kulifufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL).

“Pamoja na changamoto zote hizo za kupingwa, lakini mwanaume huyu (Magufuli) amekuwa shupavu kapambana na kesho inatua Airbus ya pili ikiwa ni kati ya zile ndege mbili kubwa alizoziagiza kati ya ndege saba zinazopaswa kuletwa kwa ajili ya shirika letu la ndege,” amesema.

“Niwaombe tu kama wewe ni mwananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na ulishawahi kutoa ahadi ukatekeleza, tukutane kesho Uwanja wa Ndege na wale ambao hawajawahi kutekeleza ahadi zao wasije.”

“Kwa watakaobaki majumbani tutakuwa tumepata jibu kwamba ni wale ambao wametoa ahadi lakini hawajawahi kutekeleza.”

Chanzo: Mwananchi

View attachment 991351
Wacha weeee !!!
 
Back
Top Bottom