Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

Utakuta Jaji mkuu Spika wa Bunge mihimili yote ya inakuja kupokea Ndege by zitto ushamba na ulimbukeni
 
Nimezipenda hizi tweet kwa kweli


Sent from my SM using Tapatalk
Mi nitamtuma mwanangu dukani anunue sabuni ,sabuni zikifika nitaita majirani na ukoo wote tutapokea sabuni,nitapiga picha na sabuni maana nimenunua Mimi kwa hela ya familia ,kama ngoma zitakuwepo nitazipiga pia ,halafu kesho vipeperushi vyote vya mtaani vitanisifu kuwa hakuna kama Mimi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…