Makonda: Atakaevaa sare ya CCM kesho, hapandi Daladala

Hakuna haja wala mantiki ya kuwa-harass watu watakaotaka kwenda Jangwani hiyo ni haki yao kikatiba. Lakini sidhani kama kuna natural motivation (from the heart) ya watu kwenda Jangwani kesho. Watakaojitokeza ni lazima watakuwa na masilahi binafsi na CCM na si kwa ajili ya Taifa.

Waacheni waende kwani mkiwazuia watashindwa kupambanua nini hasa kinaendelea nchini. Kwa kuwa sijasikia KOVA kusema watu wasiandamane, ninaamini mkutano huu haujapata publicity ya kutosha. Mvutano kati ya polisi na CDM ni moja kati ya matangazo rahisi kabisa kuhusu mikutano ya CDM, maana ukitafuta approval rating ya Polisi utakuwa ipo around 2% na hii ni kwa wanasiasa wa CCM, polisi wenyewe na familia zao. Zimwi likisimama mbele ya mtu umpendaye utajiunga na umpandaye kumshinda nguvu Zimwi.
 
Kwanini wafanye hivyo? Demokrasia si kitu cha hiari bwana. Tushindane kwa kupiga kura sio mbinu kama hizo
 
Magamba wenyewe watakuwa wachache wengi watazolewa na malori kutoka sehemu kama bagamoyo,chalinze,rufiji na maeneo mengine.
 
Let them be wasomeshwe tu daladala ni chombo cha umma kila mtu anaruhusiwa
 
Chama cha makonda mkoa wa Dar-s-salaam (CHACHAMADA) na baadhi ya wamiliki wa
mabus hayo ya usafiri ndani ya jiji la Dar wamekutana leo alfajiri somewhere(secret me
eting) na kwa pamoja wameridhia kuwa kesho siku ya Jumamosi mtu yeyote atakaevaa
vazi(nguo)yeyote inayoashiria sare ya CCM(kijani au njano) hatoruhusiwa kupanda dala
dala yoyote....zoezi hili litaanza kesho kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa mbili usiku. Baada
ya mda huo unaruhusiwa kuvaa nguo yenye rangi yeyote na ruksa kupanda daladala ye
yote.
Angalizo: Siyo watu wengi wanaoingia na kutumia mtandao wa JF. So ikopi hii message
kama inavyojieleza kwa kutumia simu yako ya mkononi na uwatumie ngugu na marafiki
zako wote wanaoishi ndani ya Dar na wanategemea usafiri wa mabus (Dala dala).

Najua kuna baadhi ya watu watapinga habari hii....lakini mzarau mwiba mguu huota tende.

Source - ni mtu wangu wa jikoni anaemiliki daladala 5 zenye route tofauti hapa Bongo...UTAKI UNAACHA.
aaaaaaaaa,,,haya
 
wangewaacha tu waende, mbona sisi tuliachiwa tukahudhuria mkutano wetu wa chadema, kumbukeni hawa magamba walivyo na roho mbaya ikitokea wakafanyiwa hivyo ipo siku chadema watataka kufanya mkutano halafu serikali itangaze siku hiyo hakuna daladala kusafiri mchana dar
 
japo tuanajua C.C.M ni chama chenye wachafu weng kuliko wasafi icfike mahala tukakosesha wengne uhru na haki zao za msing kwakua wanavaa nguo zenye rang flani kwan utakuta wengne hata hawafatilii kabsa mambo ya siasa..
 
ktk watu wabaguzi ,wapuuzi na wasio na utaifa ni wewe njowepo mbona hukusema hivyo wakati wa mktano wETU WA CDM. Huo ni uzandiki. Pole sana njowepo
 
ktk watu wabaguzi ,wapuuzi na wasio na utaifa ni wewe njowepo mbona hukusema hivyo wakati wa mktano wETU WA CDM. Huo ni uzandiki. Pole sana njowepo
 
Back
Top Bottom