Makonda: Atakaevaa sare ya CCM kesho, hapandi Daladala

Wacha wavae magamba yao na wasafiri salama, hakuna sababu ya kuwazuia, ingawa ujumbe wenyewe unaonekana siyo rasmi, ni wazo la mtu si la kundi
 
Watakuwa wamefanya la maana kabisa, jitu utakuta limepigika badala tuungane kujikomboa kwenye ugandamizaji huu wa magamba yeye anaenda jangwani kuchekelea maisha duni ya mtanzania, shame on them magamba kina wenyewe.

  • :angry:
 
Hiyo itakuwa ni habari njema ccm miaka 50 sasa bado wanatuibia tuikatae kwa nguvu zetu zote,Kama wananweza wakawabebe wanachama wao na maV8 sababu pesa wanazo.
 
Ulaaniwe ewe uletaye ubaguzi tz. Mod naomba umban huyu jamaa basha.

Ulaaniwe nawe magamba kwa neno la kijinga kama wana kucameron ni wewe usimsingizie mwingine

  • A%20S%20thumbs_down.gif

 
Chama cha makonda mkoa wa Dar-s-salaam (CHACHAMADA) na baadhi ya wamiliki wa
mabus hayo ya usafiri ndani ya jiji la Dar wamekutana leo alfajiri somewhere(secret me
eting) na kwa pamoja wameridhia kuwa kesho siku ya Jumamosi mtu yeyote atakaevaa
vazi(nguo)yeyote inayoashiria sare ya CCM(kijani au njano) hatoruhusiwa kupanda dala
dala yoyote....zoezi hili litaanza kesho kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa mbili usiku. Baada
ya mda huo unaruhusiwa kuvaa nguo yenye rangi yeyote na ruksa kupanda daladala ye
yote.
Angalizo: Siyo watu wengi wanaoingia na kutumia mtandao wa JF. So ikopi hii message
kama inavyojieleza kwa kutumia simu yako ya mkononi na uwatumie ngugu na marafiki
zako wote wanaoishi ndani ya Dar na wanategemea usafiri wa mabus (Dala dala).

Najua kuna baadhi ya watu watapinga habari hii....lakini mzarau mwiba mguu huota tende.

Source - ni mtu wangu wa jikoni anaemiliki daladala 5 zenye route tofauti hapa Bongo...UTAKI UNAACHA.
Hamna shida tutaenda kuvalia jangwani!! hamna shida!!
 
Siungi mkono huu ukandamizaji kwani kila mtu ana haki na uhuru wa kufata chama anachokipenda.
 
hao makonda watakagua mpaka nguo za ndani wakaona hamna aliyevaa kijani? acheni mikwala
 
Niko Goba, kuna gari ya matangazo ya huo mkutano imepita hapa nilipo watoto wa shule na akina mama wamezomea hilo gari na kuwaonyeshea alama ya V...... wasipo somba watu na malori kesho wataumbuka vibaya sana.
 
Siungi mkono huu ukandamizaji kwani kila mtu ana haki na uhuru wa kufata chama anachokipenda.

Ndege wanaofanana wanaruka pamoja,si mkapande malori mafuso Kama kawaida yenu?kwani ni lazima mpande magari ya wazalendo(daladala)?Pandeni malori acheni usumbufu na nguo zenu za kijani
 
Siungi mkono huu ukandamizaji kwani kila mtu ana haki na uhuru wa kufata chama anachokipenda.

Akapande na gari ya chama hicho! si huwa wanawakodishia mafuso,huku mkuranga naskia zpo Fuso 5 kwa ajili hiyo kesho
 
Hawapandi daladala watasombwa na malori yale ya kubebea ng,ombe!!
 
sorry rafiki yangu njowepo im mean bashadido ndio maana unaitwa basha huna maadili.
Habari ndiyo hiyo....ukiwa kwenye kijani au njano imekula kwako.
Copy hiyo message kama ilivyo na uitume kwa ngugu na marafiki wote waishio Dar
 
mtoa mada unawaza kama funza....
Dereva gani wa daladala atakataa hela DAR..
Wewe ndo utaweka ugali wao mezani au CDM..!!
Umepost utumbo.
 
Back
Top Bottom