Mambo yaajabu yaliyojitokeza
- polomakonda kuita wabunge wezi mbele ya spika na rais...
- kuomba fedha wakati fedha ilishatolewaga bilioni 1.5....
- mkulu kukubali na kuagiza fedha zitoke bila kupewa taarifa fasaha...
- kudharau walopita kwamba hawakuweza kununua ndege na kuwacheka...
- kakobe kuonesha uchama bila kujua like nitukio la kitaifa.
Swali,kwanini tunasema tusibaguane kivyama sasa ni kazi sio siasa huku sisiemu wakishambulia wapinzani kila tukio la kitaifa likitokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.