Makonda ataka majimbo matatu ya Kawe,Ubungo na Kibamba kwa mpigo

Maisha ni unafiki mtu anakuua na msibani anakuja. Dunia haipo sawa.
Na anaenda kuomba na kusamehewa, vitu ivi vimewafanya Watu kuwa wanyama tuu
tapatalk_jpeg_1566799728379.jpeg
tapatalk_1571938386436.jpeg
 
Mambo yaajabu yaliyojitokeza
- polomakonda kuita wabunge wezi mbele ya spika na rais...
- kuomba fedha wakati fedha ilishatolewaga bilioni 1.5....
- mkulu kukubali na kuagiza fedha zitoke bila kupewa taarifa fasaha...
- kudharau walopita kwamba hawakuweza kununua ndege na kuwacheka...
- kakobe kuonesha uchama bila kujua like nitukio la kitaifa.
Swali,kwanini tunasema tusibaguane kivyama sasa ni kazi sio siasa huku sisiemu wakishambulia wapinzani kila tukio la kitaifa likitokea
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom