Namuomba msamaha Paul Makonda. Atusaidie wizi Ripoti ya CAG na Mafao kwa wenza wa viongozi, Kodi zote za Nchi zitaishia kwao

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,296
Kweli Kaka Paul Makonda mimi nilikuwa miongoni mwa watu wanaokubeza. Ilifika mahali nikaawa sikukubali hata kidogo.

Pengine sikujua uzalendo wako na Nguvu yako ndani Chama chetu pendwa na Ndani Serikali yetu inayotuongoza.

Kwa kuwa sasa tumetambua nguvu yako, uzalendo wako na vile wewe mwenyewe unajitamkia kuwa ni mzalendo
Basi tunaomba utusaidie sisi Watanzania ili wizi wa mali zetu za umma uliotajwa na CAG na sasa Mabadiliko ya sheria kuhusu viongozi na wenza wao basi yafanyiwe kazi.

Tunaamini kwa ushirikiano wako utajali hili.

Ukisoma na kusikiliza Mchongo uliotolewe kwenye sheria hiyo ya maslahi kwa wafalme na malkia wao utaona kabisa Kodi zote za Nchi kutoka kwenye Madini, Utalii, na Mafuta na gesi zitatumika.kutunza wao matajiri na familia zao tu.

Nchi itazama. Huku tunaomba misaada tujenge vyoo vya shule na hospitali lakini viongozi wenzako hawatujali kabisa.

Wanatujali kwa maneno matupu.
Wewe ni mtu wa vitendo, tuokoe Baba, tusahau yaliyopita tujenge Nchi yetu.

Wabunge wenyewe ndio tulishasahau.

Tunakulilia Katibu Mkuu Mwenezi NEC CCM Kaka Paul Makonda. Usituangushe.
 
Kweli Kaka Paul Makonda mimi nilikuwa miongoni mwa watu wanaokubeza. Ilifika mahali nikaawa sikukubali hata kidogo

Kwa sasa kiongozi mwenye nguvu ya uthubutu ni Paul Makonda na wengine wachache tu.
 
Cutting your Nose to Spite your Face....

Moja kinachoendelea ni Maigizo na Kampeni; CCM waonekane wanafanya kazi na kutoana Kafara kumbe mwisho wa siku hakuna kinachobadilika...

Mbili kuendelea kutegemea mtu ndio akusaidie wala sio taasisi wala sheria (mtu kuwa na uwezo wa kufanya kitu) anaweza kutumia uwezo wake huo huo kuharibu (hapo utasemaje)?

In short no individual should have absolute Power..., Ingawa kila mlipa Kodi ana haki ya kulaumu na kushutumu vitu visivyoenda sawa (hawa wewe)
 
Umeona Makonda hajasemwa siku mbili tatu, umeamua kuleta unafiki. Kama bunge na serikali haviwezi kudhibiti wezi na kuwachukulia hatua mpiga debe wa chama ndio ataweza?. Tusimpe mtu kazi ambayo haiwezi.
 
Mikwara, vitisho na maagizo yote ya Makonda ni kutaka kujiweka karibu na buyu la asali. Alikuwa nje ya mfumo wa upigaji toka mwaka 2021, na rekodi yake ya kuchuma fedha kwa vitisho na maguvu inafahamika.

Yaani unategemea Makonda peke yake ana nguvu ya ziada ya kuweza kukabiliana na mafisadi papa ndani ya CCM!? *Come back" yake hiyo ya vijembe ni "whistle blowing" ikiashiria wakata mafungu wawe wanamtengea na chake pia

Viongozi wote wa CCM ni sawa na ukoo wa kambale, kwa kuwa wote hufanana kwa sharubu zao za tamaa zao mbaya, wizi na ufujaji wa mali za umma.
 
Lakini anaonekana ni mzalendo.kwenye majukwaa......sasa tuone vitendo
 
Umeona Makonda hajasemwa siku mbili tatu, umeamua kuleta unafiki. Kama bunge na serikali haviwezi kudhibiti wezi na kuwachukulia hatua mpiga debe wa chama ndio ataweza?. Tusimpe mtu kazi ambayo haiwezi.
Tumeambiwa Katibu Mkuu NEC ana nguvu sana. Anaweza kumwajibisha mtu yeyote.
 
Cutting your Nose to Spite your Face....

Moja kinachoendelea ni Maigizo na Kampeni; CCM waonekane wanafanya kazi na kutoana Kafara kumbe mwisho wa siku hakuna kinachobadilika...

Mbili kuendelea kutegemea mtu ndio akusaidie wala sio taasisi wala sheria (mtu kuwa na uwezo wa kufanya kitu) anaweza kutumia uwezo wake huo huo kuharibu (hapo utasemaje)?

In short no individual should have absolute Power..., Ingawa kila mlipa Kodi ana haki ya kulaumu na kushutumu vitu visivyoenda sawa (hawa wewe)
Mkuu ndoo tumeshaanguka sasa tufanyeje?
 
Back
Top Bottom