Makonda ataka majimbo matatu ya Kawe,Ubungo na Kibamba kwa mpigo

Ni dhahiri wabunge wa upinzani Dar 2020 hawarudi bungeni. Na hivi miaka minne hawana airtime. Hawajaonyesha wamefanya nini majimboni kwao.



Kwa kawe hatoweza kumtoa Halima na Kibamba kule kwa Wachaga hatoweza kumtoa mnyika. Kwa upande wetu apa Ubungo anaweza akamtoa Kubenea maana sisi wakazi wa Ubungo tushavurugwa na maisha hatuangalii nani usoni, tunachotaka maendeleo sana sana barabara za mitahani, kwa iyo Kubenea tutampiga chini. Sisi ubungo tushavurugwa tunataka barabara za ndani fullstop aje atusaidie siasa za kipuuzi hatutaki. Kama siasa za ubungo, tulimkaanga Didas Masaburi na hatujapata maendeleo, itabidi tumkaange na kubenea tunaangalia maendeleo kwanza
 
Atachea rafu, alibipu kigamboni akakimbizwa na doctor, akaenda kwa waitara wakurya wamemkimbiza, sasa anakuja kwa watu aliowavunjia nyumba zao, wachagga wa kawe kimara na kinondoni,

ngoja niendelee kula karanga nikimskizia dogo
Huyu dogo sijui ni kitu gani kinaisumbua akili yake maana sijawahi kuona ameanzisha jambo likafanikiwa.
 
Eti Magufuli nae kasema "watu wanauliza kwanini awamu zilizopita hazijanunua ndege mpaka awamu hii ya tano....nasema hiiiiiiiii" hii ni dharau kwa viongozi waliopita aisee! Nilitaka kumuona Makonda hamnazo kwa alichokisema lakini naomba niishie hapo tu maana nimeshajua mzizi ulipo
Mwanza hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu, kwanza ondoa chuki zako kwa Makonda, afu upangilie unachotaka kutuambia.
Nakuona upo hapo pembeni kwa Bashite umekula suti ya kufa mtu.
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Mwanza hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
KwaKifupi MAGUFULI anasema NYERERE, MWINYI, MKAPA na Kikwete walikuwa ni majizi tu na wanajinufaisha, ila yeye ni msafi kabisa kama sufi, hajauza nyumba za serikali, hajakamata kivuko na kudaiwa bilioni nne, hajamgawia hawara nyumba ya NHC, hajachukua hela za serikali na kuzigawa kwa maburungutu kwenye ziara,
 
Kaongea utumbo sana kwa kweli.kwani nn maana ya mfumo Wa vyama Vingi?
Unajua kwa mtu mgeni anaweza kufikiri kwamba "kuwa mpinzani Tanganyika ni sawa na UHAINI" alafu eti anajiita mlokole, sijui wao na Magu kuna ka mbingu kao kapo mahali, yaani
 
Back
Top Bottom