Makonda asipokonda basi ataishia Makondeko

FB_IMG_1698744426534.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii hata akiteuliwa Musiba watakaolia ni ccm zaidi kama wanavyolia sasa.
Makonda aliishi kwa kudeka na kujikomba kwa Magu.
Kuna siku nilimsikia Anthony Mtaka wakati akihamia Dodoma, alimsifia sana RC aliyekuwa, anamkabidhi kwa ustaarabu wake na unyenyekevu. Alisema yule mzee ilikuwa kawaida kumuona sokoni au madukani akiwa na mkewe tu. Hakuwa na mabaunsa wa kusumbua raia.
Japo ukweli ni mchungu lazima tuseme Marehemu Magufuli hakuwa kiongozi matured, na alichangia sana kuharibu vijana hasa malimbukeni kama Makonda, Sabaya na wengine. Kitendo cha kuwaruhusu kumiliki vikundi vya wahuni kutumia silaha za umma na pengine hata kulipwa mishahara na posho ili kulinda viongozi vijana wahuni haikuwa sawa hata kidogo.
Magu amekufa march 17,2022. Akamuacha Makonda kwenye mataa,kama kweli ule ulinzi ulikuwa na tija, mbona hatuoni ubaya aliolipizwa!!
Alifuga watu wajinga na kuwajengea tabia mbaya sana. Ni Makonda aliyekataa kulipia Kodi makontena aliyodai Yana vifaa vya shule, kama siyo uimara wa Dr Mpango aliyesema lazima alipe mpaka Magu akaona aibu ikabidi aingilie kati kuwa ni lazima Makonda alipe Kodi.
Ni wajinga tu ndio watamuogopa Makonda sasa hivi, na vile Mungu alitukumbusha kutowatumainia wanadamu tarehe 17/03/2021. Ni wapumbavu pekee ndo watakaotishwa na Makonda.
 
Japo ukweli ni mchungu lazima tuseme Marehemu Magufuli hakuwa kiongozi matured, na alichangia sana kuharibu vijana hasa malimbukeni kama Makonda, Sabaya na wengine. Kitendo cha kuwaruhusu kumiliki vikundi vya wahuni kutumia silaha za umma na pengine hata kulipwa mishahara na posho ili kulinda viongozi vijana wahuni haikuwa sawa hata kidogo[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii hata akiteuliwa Musiba watakaolia ni ccm zaidi kama wanavyolia sasa.
Makonda aliishi kwa kudeka na kujikomba kwa Magu.
Kuna siku nilimsikia Anthony Mtaka wakati akihamia Dodoma, alimsifia sana RC aliyekuwa, anamkabidhi kwa ustaarabu wake na unyenyekevu. Alisema yule mzee ilikuwa kawaida kumuona sokoni au madukani akiwa na mkewe tu. Hakuwa na mabaunsa wa kusumbua raia.
Japo ukweli ni mchungu lazima tuseme Marehemu Magufuli hakuwa kiongozi matured, na alichangia sana kuharibu vijana hasa malimbukeni kama Makonda, Sabaya na wengine. Kitendo cha kuwaruhusu kumiliki vikundi vya wahuni kutumia silaha za umma na pengine hata kulipwa mishahara na posho ili kulinda viongozi vijana wahuni haikuwa sawa hata kidogo.
Magu amekufa march 17,2022. Akamuacha Makonda kwenye mataa,kama kweli ule ulinzi ulikuwa na tija, mbona hatuoni ubaya aliolipizwa!!
Alifuga watu wajinga na kuwajengea tabia mbaya sana. Ni Makonda aliyekataa kulipia Kodi makontena aliyodai Yana vifaa vya shule, kama siyo uimara wa Dr Mpango aliyesema lazima alipe mpaka Magu akaona aibu ikabidi aingilie kati kuwa ni lazima Makonda alipe Kodi.
Ni wajinga tu ndio watamuogopa Makonda sasa hivi, na vile Mungu alitukumbusha kutowatumainia wanadamu tarehe 17/03/2021. Ni wapumbavu pekee ndo watakaotishwa na Makonda.
Ni wajinga tu ndio watamuogopa Makonda sasa hivi, na vile Mungu alitukumbusha kutowatumainia wanadamu tarehe 17/03/2021. Ni wapumbavu pekee ndo watakaotishwa na Makonda.[emoji419][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajinga tu ndio watamuogopa Makonda sasa hivi, na vile Mungu alitukumbusha kutowatumainia wanadamu tarehe 17/03/2021. Ni wapumbavu pekee ndo watakaotishwa na Makonda.[emoji419][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kiumbe si wa kucheka nae. Muda si mrefu uko CCM watalia tena kuwa naye. Ni swala la muda tu!! Hotuba ya kwanza tu kesha anza mbwembwe zake kwa Mawaziri na MaRC. Keshasahau kazi zake kama mwenezi na kurukia majukumu yasiyomuhusu. Kila jamii kuna maboya, kuna wale wanaomwona jasiri na shupavu kwa matendo yake ya hovyo.
 
Keshasahau kazi zake kama mwenezi na kurukia majukumu yasiyomuhusu. Kila jamii kuna maboya, kuna wale wanaomwona jasiri na shupavu kwa matendo yake ya hovyo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda alikuwa mkuu wa mkoa tu lakini alikuwa na mamlaka kuliko waziri mkuu

Makonda kwa mambo ambayo alifanya walioko juu yake watakuwa hawajiamini mbele yake
Labda tu wale wanaotoka royal family

Kama ulivyosema hapo mwisho ni kipimo tu cha upepo hichi uyo anaenda kula shavu zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aaahaàa

Nchi ilipoa hiii

Japo lengo la Makonda kuletwa ili kufunika inshu ya bandari ila amefanya maradufu zaidi ya hicho

Amewaibua watoa taarifa toka mapangoni

Aahaaaa
Dada Mbona twaarabu kwenye Jukwaa la politik.
 
Coincidence?
MSAIDIZI WA TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA!

Ndugu Watanzania!
Tumepata taarifa kuwa mmoja wa wasaidizi wa Mheshimiwa Tundu Lissu ameshambuliwa na vijana kwa mapanga jijini Dar es Salaam jana majira ya saa 2 usiku. Tunafuatilia suala hilo kwa karibu na tutatoa taarifa zaidi baadaye juu ya utambulisho wake, mahali aliposhambulia na pia hatua ambazo Jeshi la Polisi lilichukua.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 31 Oktoba 2023; 02:01 usiku

Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Nimekutana na watu maeneo ya nyumbani na kuniitia mwizi huku wangine wakisema kuwa huyu ndiye mtu tulikuwa tunamtafuta sana kwa kuwa anajifanya yeye ni Mlinzi wa Lissu. Bahati nzuri walijitokeza wasamalia wema kuniokoa. Baada ya hao watu kufika ndipo hao waliokuwa wakinishambulia wakakimbia. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa aliwaita Polisi na ndipo wakaja Polisi kunichukua.

Ni mimi .....,
Dar es Salaam, 31 Oktoba 2023

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom