KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,590
- 2,386
Atapanuka moyo sioš¤£Umepaniki broo
Relax
Kunywa maji kwanza
Susha pumzi kisa pandisha kidogo
Aaahaaaa
Makonda ataua watu
Atapanuka moyo sioš¤£Umepaniki broo
Relax
Kunywa maji kwanza
Susha pumzi kisa pandisha kidogo
Aaahaaaa
Makonda ataua watu
Aya ya mwisho naiona kwa mbaali na tunaweza imba tenzi mda ukifika angali kijanaTutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa
Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!
Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo
Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...
Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia
Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua la kuku,tunataka majasiri,sio mafala,kama wewe utaishi milele poa sana,ila naamni dunia ni mapito kwetu sote,ni bora ukapita kwa kusema ukweli,kuliko kunyamazia upuuzi wakati hata ukinyamaza utakufa tuTutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa
Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!
Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo
Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...
Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia
Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu sasa ni UCHOCHEZI wa wazi. Mkianza kupotea msimlaumu mtuOk basi sawa unajua ni kwanini lakini au hujuiView attachment 2793732
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uteuzi wake uko kimkakati sana, ndiye tu mtu anayemzungumzwa sana, hata alipoteuliwa imekuwa hivyo.Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Akili kisodaVita vya Panzi furaha Kwa kunguru.
Mama ana sambaratisha makundi kiintelijesia hapa,
Kwa yeye mzanzibari makundi ya Tanganyika Hana faida nayo na za ndani zaidi ni kama vile anatekeleza protocol ya IMF kuwa nchi lazima ikabidhiwe upinzani by All means Necessary.
Umendika vizuri, kwamba ccm wanaona Makonda ndo yupo na akili ya kuleta ushawishi ndani ya chama, hili lichama linakufa kifo kibaya sana aiseeTutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa
Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!
Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo
Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...
Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia
Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafutaaa yamemwaga kwenye shimo nyoka zote zinatoka [emoji23]Dua la kuku,tunataka majasiri,sio mafala,kama wewe utaishi milele poa sana,ila naamni dunia ni mapito kwetu sote,ni bora ukapita kwa kusema ukweli,kuliko kunyamazia upuuzi wakati hata ukinyamaza utakufa tu
Hizi ni habari za muda tuu baada ya wiki utaniambia. Maaana tutaletewa episode mpya kali kuliko hiiNadhani uteuzi wake uko kimkakati sana, ndiye tu mtu anayemzungumzwa sana, hata alipoteuliwa imekuwa hivyo.
Yupo kuwatoa wapinzani kwenye hoja na hilo ataliweza sana, mfano ni leo, wapinzani ndio watoa taarifa wakubwa wa mkutano wake.
CCM pua wanajua akili zetu zilivyo na uvivu wa kufikiri na kuendeshwa na matukio. Mfano ni uzuzu kumlamu Makonda aliyekuwa RC tu, na kuacha kumlamu aliyemteua ambaye alikuwa namba 2.
Yan mpaka wasemeeMzimu umefufuka. Bado hujasema.
Kabisa,nyakati zake za kuvimba alishakwenda nazo aliyekuwa anampa kichwa
MkuuTutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa
Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!
Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo
Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...
Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia
Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, episode zitakuwa nyingi kwasababu huo ndio mkakati, kuendelea kuzumgumzwa mda wote na kuwahamisha watu kwenye mijadala ya maana.Hizi ni habari za muda tuu baada ya wiki utaniambia. Maaana tutaletewa episode mpya kali kuliko hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini hana amri za kimamlaka kama dc na rcMkuu
Unajidanganya,ni kweli kisheria Ina mantiki lakini kichama Ina nguvu kuliko hata waziri mkuu,coz mwenezi kashikilia tiketi ya uanachama wa CCM hata huu wa kwangu nilionao!!
Aiseh ni hatari,subiri uone show!
AiseeAmewaibua watoa taarifa toka mapangoni
Tunaandika kila siku kila saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mazuri ama kwa mabaya?Makonda kweli ni kiboko. Watu wote wanamuongelea yeye. Huku mitaani ndio balaa. Kila mtu kafurahi siku ya leo kufika. Tangu JPM aondoke, leo ndio Watanzania tumefarijika tena na maisha. Mama Samia kweli umetupendelea. Ule uDr unakustahili kabisa.
Kateuliwa na babeTutofautishe nyakati
Tutofautishe nguvu
Tutofautishe ubabe
Tutofautishe uthubutu
Tutofautishe nafasi za kimamlaka serikalini na kwenye chama cha siasa
Ukatibu mwenezi wa chama ni tofauti kabisa na u DC ama u RC.. Ukiwa DC wewe ndio rais wa wilaya.. Yaani kiwilaya hakuna mamlaka mengine ya juu zaidi
Ukiwa RC wewe ndio rais wa mkoa hakuna nafasi ya juu zaidi kimkoa kuzidi hiyo.. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yako na una amri ya kimamlaka juu yao
Ukiwa katibu mwenezi wa chama huna madaraka ya kimamlaka na cycle ya watu inayowajibika kwako ni ndogo sana.. Na huna say ya mwisho kwenye lolote.. Ni lazima upokee maagizo kutoka juu
Kwenye hiyo nafasi ya kichama hakuna kamati ya usalama yenye kukusikiliza wewe ..na huna uwezo wa kusweka watu ndani utakavyo!
Makonda alipaishwa kipindi cha mkono wa chuma usioogopa kitu naye akapaa na kuenea vema.. Maguvu na ubabe bila staha kwa mkubwa wala mdogo ndio vilikuwa hobby yake! Alijisikia furaha sana,kudhalilisha yeyote kutokana na madaraka ya kimamlaka aliyokuwa nayo
Sasa hizi ni nyakati tofauti sana na zile.. Na nafasi aliyonayo haina nguvu ya kuamrisha kama zile nyingine... Na kibaya zaidi ndani ya chama kuna mipasuko kama ardhi ya kiangazi.. Huko hakuna ubabe na kuamrisha.. Na kuteuliwa kwake kumezidisha mipasuko.. Kwahiyo ni mwendo wa mitifuano nyuma ya zulia na mitafutano...
Mpaka hapo keshapwaya pakubwa.. Badala ya kung'ara na kuwika anaweza kufunikwa na wanazi wa chama asisikike wala asifurukute kabisa.. Kwakuwa hata ndani ya chama ana maadui wa kutosha sana!
Kitakachomuokoa labda awe kawekwa hapo kwa muda ili kusoma upepo kabla hajapewa nafasi inayoendana na kaliba yake ya kupayuka, kudhalilisha na kutumia maguvu hata panapohitaji diplomasia
Akiachwa hapo atakonda mpaka atapepesuka mwisho tukamuokote MakondekoView attachment 2793723
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli kijana yupo na nyota kali ajenda leo ni makonda tu!Tutofautishe nyakati